Kwenye ilani ya ccm kulikua na mpango wa manunuzi ya ndege ama ndo ile gia zimebadilika juu kwa juu ningemuona wa maana angetoa zile million 50 kila kijiji pia kuna vitu vya muhimu tu katika jamii ndege ni anasa tuKila utekelezaji wa Ilani lazima ushangiliwe
Umenena vyema ndugu watanzania bado hawana akili na ukiangalia wengi wao wanaoshangilia ndege kwenye ukoo wao hakuna hata mmoja aliewahi kupanda to be frankly we need education education educationNchi ya Mazuzu!....Viongozi ni mazuzu na mbaya zaidi raia pia ni mazuzu!!
Ulitegemea ahadi za uboreshaji wa mawasiliano na uchukuzi ziweje?Kwenye ilani ya ccm kulikua na mpango wa manunuzi ya ndege ama ndo ile gia zimebadilika juu kwa juu ningemuona wa maana angetoa zile million 50 kila kijiji pia kuna vitu vya muhimu tu katika jamii ndege ni anasa tu
Sina chuki ndugu hebu nambie bibi ako alieko mbiti ama mwakilangi anafaidika vipi na hiyo ndege wakati huo huduma za afya hakuna ,maji shida barabara mbovu [emoji21]Kwani watakuwa watenda jinai gani au kosa gani wakishangilia jambo hilo?
Chuki humuumiza anaye chukia
Ikoje hiyo!!!acha roho ya korosho
imekaa ki ccmIkoje hiyo!!!
Weka ilani ya ccm 2015 hapa then rudia huo msamiatiacha roho ya korosho
Sikumalizi kwa ujuha huu!Kila utekelezaji wa Ilani lazima ushangiliwe