mtiro wa papaa
Member
- Jul 24, 2018
- 35
- 25
sikukuu ya ndege yetu!!
Alisema kuhusu kufufua mashirika, so kubalieni tu na mambo waliyosema atafanya, kasema kuhusu foleni, madaraja, mashirika, viwanda, huduma za jamii, elimu free 100%, mafisadi etc, so kila kinachofanywa hata wapinzani walikuwa ndo wanachopigia kelele hapo kabla, step by step wanafanya,Kwenye ilani ya ccm kulikua na mpango wa manunuzi ya ndege ama ndo ile gia zimebadilika juu kwa juu ningemuona wa maana angetoa zile million 50 kila kijiji pia kuna vitu vya muhimu tu katika jamii ndege ni anasa tu
Hivi mnadhani kupeleka maji ndani huko vijijini ni swala la dk 0 tu, tz ina vijiji vingi kuliko miji, kuchimba visima sio swala la leo na kesho, kupeleka umeme sio dk 0, kulaza lami tu ni mabilioni, so huwez kulinganisha usafiri wa ndege na kupeleka maji, elimu, barabara vijijini, ila anayetumia hiyo ndege kafaidika 100% usijaribu kumchukia au kumwonea kijicho, kila kitu kina plan zakeSina chuki ndugu hebu nambie bibi ako alieko mbiti ama mwakilangi anafaidika vipi na hiyo ndege wakati huo huduma za afya hakuna ,maji shida barabara mbovu [emoji21]
Natumai uzinduzi wa treni ya umeme itakuwa National holiday for one week....Kila utekelezaji wa Ilani lazima ushangiliwe
Na haya yanatokea baada ya miaka zaidi ya 50 tangu uhuru. Najiuliza tunaenda mbele au tunarudi nyuma.Umenena vyema ndugu watanzania bado hawana akili na ukiangalia wengi wao wanaoshangilia ndege kwenye ukoo wao hakuna hata mmoja aliewahi kupanda to be frankly we need education education education
Miaka 50+ ya uhuru bado sio daika 0??Hivi mnadhani kupeleka maji ndani huko vijijini ni swala la dk 0 tu, tz ina vijiji vingi kuliko miji, kuchimba visima sio swala la leo na kesho, kupeleka umeme sio dk 0, kulaza lami tu ni mabilioni, so huwez kulinganisha usafiri wa ndege na kupeleka maji, elimu, barabara vijijini, ila anayetumia hiyo ndege kafaidika 100% usijaribu kumchukia au kumwonea kijicho, kila kitu kina plan zake
[emoji125] Akikujibu nitag mkuuSina chuki ndugu hebu nambie bibi ako alieko mbiti ama mwakilangi anafaidika vipi na hiyo ndege wakati huo huduma za afya hakuna ,maji shida barabara mbovu [emoji21]
Hii nchi inaongozwa na mazuzu, wenye akili angalau kidogo wanakuwa kimya au wanakuwa wanafiki ili kulinda matumbo yaoNchi ya Mazuzu!....Viongozi ni mazuzu na mbaya zaidi raia pia ni mazuzu!!
Nilionaga moja Rais kenyatta anazindua lkn sio kwa mbebwe na matangazo kama ya yule anko naniiEthiopia na Kenya wanazo nyingi kama hizo sijui walifanya hafla ngapi kuzikaribisha
Kuwa zuzu sio kosa la jinai.Kwani watakuwa watenda jinai gani au kosa gani wakishangilia jambo hilo?
Chuki humuumiza anaye chukia
Mbona madc wapo fresh, naaminia utendaji wao, wapo straight...Elimu mkuu ndo maana Jiwe anawachezea drama mpya kila siku, akiwatoa kwenye mstari msiwaze ya msingi muwe mnajadili uozo...
Wateuliwa wa ajabu ajabu udc
Mara nawapa masaa mawili mtafute mbwa
Mara wabunge wa upinzani kuhama mmoja mmoja kwa malengo maalum, yaani nchi miaka mitano ipo kwenye uchaguzi..
Sasa kivumbi leo kwenye kuapishwa hao madc tusubiri kauli za utata tuzijadili wiki nzima social media....