Hivi ndege imekua ni jambo la kusherekea kwa hapa Tanzania?

Reuben 92

Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
60
Reaction score
54
habari za weekend bandugu mle mhala ? Okay nisiwachoshe leo nimeyaona ya mussa kama sio ya filauni hivi ni kweli ndege imekua ni jambo la kusheherekea kweli wabongo bado tuna safari ndefu cha kushangaza makada wa ccm nao wapo humo wakizunguka
 
Kila utekelezaji wa Ilani lazima ushangiliwe
 
Kwani watakuwa watenda jinai gani au kosa gani wakishangilia jambo hilo?
Chuki humuumiza anaye chukia
 
Kila utekelezaji wa Ilani lazima ushangiliwe
Kwenye ilani ya ccm kulikua na mpango wa manunuzi ya ndege ama ndo ile gia zimebadilika juu kwa juu ningemuona wa maana angetoa zile million 50 kila kijiji pia kuna vitu vya muhimu tu katika jamii ndege ni anasa tu
 
Ulitegemea ahadi za uboreshaji wa mawasiliano na uchukuzi ziweje?
 
Polepole aliyekuwa akipiga picha na baadhi ya abiria alisema, “Magufuli hoyee.”
 
Ethiopia na Kenya wanazo nyingi kama hizo sijui walifanya hafla ngapi kuzikaribisha
 
Kila utekelezaji wa Ilani lazima ushangiliwe
Sikumalizi kwa ujuha huu!
Hebu kueni ninyi watu! Mbona mnafanya mambo ya kitoto hadi watoto wanawashangaa! Yaani hakuna mnalofikiri kabisa juu ya maendeleo ya nchi hii na jinsi ya kuboresha huduma za kijamii zinazozorota kila uchao zaidi ya kupanda ndege na kupoteza muda!
Ina maana huko ccm suala la kuthamini na kutokupoteza muda sio la muhimu kabisa!
Sasa naamini ni kwanini mnatumia dola kujisimika!
 
Wa kijijini ndio wanaotawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…