ile ndege haitumiki, ................kikwete hajawahi kuitumia hata siku moja, ...................ina tatizo la kuyumba angani .......................hivi karibuni ilipata ajali ya kugongwa na gari na bado nhaijatengenezwa achilia mbali kuoshwa kupunguza vumbi........... ukitaka kuiona nenda karakana ya TGFA karibu na terminala one JNIA ............ kwa maelelz zaidi juu ya nini kilichoisibu, wasiliana na TGFA sokoine drive, dar................
Si kweli !! ndege ya nchi ...GULFSTREAM 2004 model...ipo kwenye hali nzuri kabisa [airworthness]...ina uwezo wa kusafiri masaa 18 bila kutua au kuhitaji kuongezewa mafuta...kwa maana nyingine rais akitaka anaweza kwenda moja kwa moja pwani ya mashariki ya marekani bila kusimama mahali....
Ni ndege ndogo lakini ya kifahari[haiwezi] kuyumba ovyo....ina facilities za usalama na detection mechanism...,kachumba ka ofisi/kulala..viti venye nafasi ,maliwato...sehemu ya kuhifadhi vyakula na refreshments....sina uhakika sana lakini inabeba watu 10 hadi 12....
Watu wa usalama wanasema kuwa rais huitumia saana kwa safari za ndani afrika,au mabara ya jirani....[juzi alienda nayo turkey na jordan]...nadhani mwanzoni alikuwa anahitaji kujipanga kabla ya kuanza kuitumia....[hata marekani rais akiingia ndege huwekewa "furniture" mpya...hata hivyo wanatonya kuwa sababu kubwa kuwa haendi nayo ulaya ..ni kuwa haiwezi kubeba delegation yote [jk husafiri na delagation kubwa kuliko waliomtangulia].....nadhani ni nafuu kwake kupanda ndege ya abiria na ujumbe wake ...mara nyingine husafiri na watu hadi 100.....,pia ikiwa safari za mbali hula mafuta mengi,na kuna gharama za parking etc[sasa ukizingatia haiwezi kubeba watu wote anaohitaji kuwa nayo ndio maana haitumiki kwenda ulaya]
Safari za afrika hazihitaji wasaidizi wengi...wala hazivutii umati wa "wafanyabiashara" wanaodandia lift ya rais...so inamtosha sana...
JAMBO lingine muhimu kwa nchi yetu ni kuwa rais anahitaji helikopta maalum....wakipata moja ya rais ,nyingine ya security detail na nyingine makamu/waziri mkuu/mawaziri..itasaidia sana kurahisisha utawala......pia itasaidia nchi iwe kiganja.....ndani ya mwezi mmoja rais anaweza kuamua kulala katika ikulu zake zote [nchi nzima]....
Bila kuhitaji ziara maalum au kuchoka....,na pia itaondolea wananchi adha ya foleni....hata marekani ili rais anatumia helicopter ...anaweza kufanya kazi DC akalala Kemp david au sehemu yeyote yenye makazi yake bila kuhitaji kutangaza ziara rasmi...hata majirani zetu kenya na uganda wanatushinda ....state house zao wanazo helicopter za kisasa kabisa....zinazoenda kasi..za utawala mbali ya zile za jeshi, polisi na askari wanyamapori....
Tanzania yetu hata Ndesamburo anakuwa na helicopter nyingi kuliko serikali....shame!!! he have two..police have one working...,and jeshi have one or two working...,watu wa misitu[tanapa] hawana...wana ndege ambayo haukuwa uamuzi mzuri ukizingatia diverity ya mbuga zetu na unajuwa hakuna airstrip kwetu....sometimes they need to innoculate animals huwezi kufanya na ndege..poor planning!!