Hivi, ndege ya Rais aliyonunua Mkapa iko wapi?

Wakati wa utawala wa awamu ya tatu tulimsikia aliyekuwa waziri wa fedha kipindi hicho akituambia kwamba hata tukila nyasi lazima ndege ya rais itanunuliwa.Kweli ndege hiyo aina ya Gulfstream Aerospace(5H-ONE) ilinunuliwa kwa mabilioni ya shilingi.swali langu ni kwamba,kwanini ndege hiyo haitumiki badala yake naona rais Kikwete anaendelea kutumia ndege ya mwanzo aina ya FOKKER 28(5H-CCM) badala ya hii tuliyonunua mabilioni ya shilingi? Je ndege hiyo ni nzima au mbovu?

Aaliyah anajua kwann haitumii!
 
Gulfstream ni ndege ya masafa marefu,huwezi kuitumia kwa safari za Dar-Arusha/Zanzibar/Mwanza,anaitumia sana kwa safari za mbali.Imetengenezwa ku-cover long distance bila ya kuongeza mafuta,Gulfstream ina uwezo wa kutoka Dar to London without refueling.Ni sawa na kutumia Gari kama Range Rover Sport,Lamborghin au Bughatti Veyron kutoka Kimara kwenda Kariakoo,sio kwamba halitakwenda litakwenda ila una-underutilize uwezo wa chombo husika.
 
Back
Top Bottom