Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
WAKUBWA, HIVI ILE NDEGE ALIYONUNUA MKAPA NA MRAMBA NDO ILE ANAYOTEMBELEA KIKWETE? AU WALIIPAKI SEHEMU, NAOMBENI UPDATES, wengi humu hatujui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAKUBWA, HIVI ILE NDEGE ALIYONUNUA MKAPA NA MRAMBA NDO ILE ANAYOTEMBELEA KIKWETE? AU WALIIPAKI SEHEMU, NAOMBENI UPDATES, wengi humu hatujui.
no no no no nooooooooo uooongooooooo!!!!!ile ndege haitumiki, ................kikwete hajawahi kuitumia hata siku moja, ...................ina tatizo la kuyumba angani .......................hivi karibuni ilipata ajali ya kugongwa na gari na bado nhaijatengenezwa achilia mbali kuoshwa kupunguza vumbi........... Ukitaka kuiona nenda terminala one jnia ............ Kwa maelelz zaidi juu ya nini kilichoisibu, wasiliana na tgfa sokoine drive, dar................
Gulfstream hiyo! Hata mimi nilisikia haitumiki kabisa.
ile ndege haitumiki, ................kikwete hajawahi kuitumia hata siku moja, ...................ina tatizo la kuyumba angani .......................hivi karibuni ilipata ajali ya kugongwa na gari na bado nhaijatengenezwa achilia mbali kuoshwa kupunguza vumbi........... ukitaka kuiona nenda karakana ya TGFA karibu na terminala one JNIA ............ kwa maelelz zaidi juu ya nini kilichoisibu, wasiliana na TGFA sokoine drive, dar................
Nilisikia imegongwa na gari ya usalama wa taifa, wameshaikarabati?
Kama uongo tupe ukweli basi!no no no no nooooooooo uooongooooooo!!!!!
the plane inatumika mara nyingi tu, JK anaitumia for european trips pia, inatumika na pia VP na PM...nenda airliners.net and search photos utaona some recent pictures Tail code yake ni 5H-ONE