Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Jamani mtuambie basi iko wapi?
Tusibishane mkubwa boya wewe hapa http://www.gulfstream.com/products/g550/specifications.htm hiyo yako haibofyeki.....wana sema inabeba 8 pax...hii ni business jet siyo precisionair
unaweza kwenda marekani na fokker?
Ina maana wewe hujui kuwa ile ndege ni adimu sana hapa duniani?
Vile vile spea zake ni sawa na rupia.
ile fokker ya CCM ilikua ya Nyerere ile mi nimeitumia sana enzi za shule kuja dar ndege simple tu haiwezi kwenda intercontinentalnadhani umeilinganisha fokker na cessina wewe!