Hivi, ndege ya Rais aliyonunua Mkapa iko wapi?

Hivi, ndege ya Rais aliyonunua Mkapa iko wapi?

Ni nani rubani anaemwendesha JK.Atakuwa mahili.Jamaa atakuwa amekula kuku,baada ya JK kumaliza urais wake
 
Mu-7 ,dictator wa Uganda anazo mbili,ya zamani GIV-Sp na mpya kama ya JK G550.

Huyu (MU-7)ndio mbaya kwa matumizi ya Presidential Jet.
Kuna kipindi alimrusha binti yake siku chache kabla ya kujifungua ,UJERUMANI eti hakuamini Hospital za Uganda kwa usalama wa family yake.
Ndio AFRIKA yetu.
 
Tusibishane mkubwa boya wewe hapa http://www.gulfstream.com/products/g550/specifications.htm hiyo yako haibofyeki.....wana sema inabeba 8 pax...hii ni business jet siyo precisionair

Mkuu.. Unapotaka kununua hizi ndege, either presidential or private jets, wewe ndio unasema unataka iweje ndani.. Yaani seat config. nk. Ya Rais wetu, iliwekwa kubeba watu 18 na sio 10.. G550, ina uwezo wa kubeba abiria 8 - 20. Na matumizi ya mafuta, nenda Rolls royce BR 710. Hii ni aina ya engine iliyofungwa kwnye G550 zote. Kuhusu usalama, hata alipokuja Bush, alikuja na walinzi wake.. Hilo halina mjadala.
 
Habar za jioni wanajamvi, naomba kuuliza hivi ndege anayotalii nayo m.kwere si ndo alonunua Mkapa au ile ilishakuwa screper kama ilivyosemwa mwanzoni alipotoka madarakani. kama ndo hii basi Mzee Mkapa tulimuonea kusema amenunua ndege mbovu. kwani jk inamsave sana otherwise angekuwa anatumia gharama kubwa zaidi angekuwa anakodi
 
Mie Rais namuheshimu, simuonei .... 🙂
 
Wakati wa utawala wa awamu ya tatu tulimsikia aliyekuwa waziri wa fedha kipindi hicho akituambia kwamba hata tukila nyasi lazima ndege ya rais itanunuliwa.

Kweli ndege hiyo aina ya Gulfstream Aerospace(5H-ONE) ilinunuliwa kwa mabilioni ya shilingi.

Swali: Kwanini ndege hiyo haitumiki badala yake naona rais Kikwete anaendelea kutumia ndege ya mwanzo aina ya FOKKER 28(5H-CCM) badala ya hii tuliyonunua mabilioni ya shilingi?

Je ndege hiyo ni nzima au mbovu?
 
Mkuu bora umeliona hilo. Pengine wapo watakaotupa majibu ya kina, ama nalo litafika mbele ya Bunge watu wawajibike...
 
mkuu nadhan umeniwah ku ulza hlo swali any way ngoja waje wenye kujua juu ya hii kadhia.
 
Ina maana wewe hujui kuwa ile ndege ni adimu sana hapa duniani?
Vile vile spea zake ni sawa na rupia.
 
Ina maana wewe hujui kuwa ile ndege ni adimu sana hapa duniani?
Vile vile spea zake ni sawa na rupia.

Sio kwamba ni adimu,sema ni ndege zinazotumiwa na mabilionia wakubwa duniani.Swala kama ni adimu na spea zake ni expensive sana kwa nini serikali iliingia mkenge wa kununua ndege ya aina hiyo.
 
nadhani umeilinganisha fokker na cessina wewe!
ile fokker ya CCM ilikua ya Nyerere ile mi nimeitumia sana enzi za shule kuja dar ndege simple tu haiwezi kwenda intercontinental
 
Rais anaitumia katika safari zake afanyazo,ila kwasasa ipo marekani kwa matengenezo[check kubwa]
 
Back
Top Bottom