JAMBO lingine muhimu kwa nchi yetu ni kuwa rais anahitaji helikopta maalum....wakipata moja ya rais ,nyingine ya security detail na nyingine makamu/waziri mkuu/mawaziri..itasaidia sana kurahisisha utawala......pia itasaidia nchi iwe kiganja.....ndani ya mwezi mmoja rais anaweza kuamua kulala katika ikulu zake zote [nchi nzima]....bila kuhitaji ziara maalum au kuchoka....,na pia itaondolea wananchi adha ya foleni....hata marekani ili rais anatumia helicopter ...anaweza kufanya kazi DC akalala Kemp david au sehemu yeyote yenye makazi yake bila kuhitaji kutangaza ziara rasmi...hata majirani zetu kenya na uganda wanatushinda ....state house zao wanazo helicopter za kisasa kabisa....zinazoenda kasi..za utawala mbali ya zile za jeshi,polisi na askari wanyamapori....Tanzania yetu hata ndesamburo anakuwa na helicopter nyingi kuliko serikali....shame!!! he have two..police have one working...,and jeshi have one or two working...,watu wa misitu[tanapa] hawana...wana ndege ambayo haukuwa uamuzi mzuri ukizingatia diverity ya mbuga zetu na unajuwa hakuna airstrip kwetu....sometimes they need to innoculate animals huwezi kufanya na ndege..poor planning!!