Sinister
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 1,531
- 1,577
Ndio sababu tuko JF tujifunze.Siifahamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio sababu tuko JF tujifunze.Siifahamu.
Aisee !Bila shaka 😀😀Kumbe ni rocket science[emoji1][emoji1][emoji1]
Hapa hesabu zinakubali, Formulae inakubali vizuri tu, lakini tukija Kenya inakubali miaka yote, lakini kuanzia 2015 GDP ni $64B na uchumi ulipanda kwa 5.7%. Swali la kujiuliza ni;View attachment 1232365Kwa haraka tu nikulete nyumbani hapo, piga hesabu zako za Mama Ntilie uniambie ikiwa pia Tz yapika data?
Ebu piga sawa hapo kwa 2013/2014 na uwe mkweli 😄 unafanya hesabu ya GDP kama ya kuuza Mihogo nyumbani Sinza?Hapa hesabu zinakubali, Formulae inakubali vizuri tu, lakini tukija Kenya inakubali miaka yote, lakini kuanzia 2015 GDP ni $64B na uchumi ulipanda kwa 5.7%. Swali la kujiuliza ni;
What is 5.7% of 64?
Hahahaha, wadanganyifu wakubwa ninyi, mnaendelea kuaibika. Tatizo mnapenda sana sifa za kijinga.
2014 $50b 2015, 47? What happened mkorinto?View attachment 1232365Kwa haraka tu nikulete nyumbani hapo, piga hesabu zako za Mama Ntilie uniambie ikiwa pia Tz yapika data?
Look hereShow me how you calculated.
BTW, what's the difference between real and nominal GDP & why do many economists use real GDP to determine the growth of an economy?
Sijakuelewa.Ninyi ni watu wa kupikia data, according to this data, Kenya GDP by 2018 is $75.41B. , ukweli ni huu
2015 GDP $64.23B +3.66B = $67.89B
Hiyo $70.87B imetoka wapi?
cc. Tony254
Gezaulole
Mkikuyuakilitimamu
Hahahaha umepatikana wacha kutapatapa, tatizo ni kuanzia 2015 kuelekea 2016.Ebu piga sawa hapo kwa 2013/2014 na uwe mkweli [emoji1] unafanya hesabu ya GDP kama ya kuuza Mihogo nyumbani Sinza?
(Growth rate) 5.7/100 * 64.23B = 3.66bnSijakuelewa.
Niliomba unipigie hesabu ya Tz 2013-2014, jibu ulipata lipi?Hahahaha umepatikana wacha kutapatapa, tatizo ni kuanzia 2015 kuelekea 2016.
Kama GDP 2015 ilikua$ 64.23B, na uchumi uliongezeka kwa 5.7%, ambayo ni $3.66B, ukiongeza hiyo $3.66B katika $64.23B utapata $67.89B. Ila GoK inasema ni $70.87B, huo ni uongo.
Jana ulikua na capital ya Shs 100, ukatengeneza faida ya 5%, je Kesho utaanza biashara na "capital" ya shilingi ngapi?Sijakuelewa.
Tumaliza kwanza na Kenya, tukitoka huko ndio tuelekee Tanzania. Kuhusu Kenya tumekubaliana kwamba kuna udanganyifu hapo 2015 na 2016?Niliomba unipigie hesabu ya Tz 2013-2014, jibu ulipata lipi?
Nikubali nini wakati Formula unatumia ya St Kayumba! Hizi Shule mnafunzwa nini?Tumaliza kwanza na Kenya, tukitoka huko ndio tuelekee Tanzania. Kuhusu Kenya tumekubaliana kwamba kuna udanganyifu hapo 2015 na 2016?
Mnatafuta Mali kwa kuwatoa kafara wenzenu? Khaa! Nyie bure Sana.
This formula is quite fathomable. joto la jiwe is just confused. Kuna formula ya GDP yenyewe na ya GDP growthNikubali nini wakati Formula unatumia ya St Kayumba! Hizi Shule mnafunzwa nini?
The following equation is used to calculate the GDP: GDP = C + I + G + (X – M) or GDP = private consumption + gross investment + government investment + government spending + (exports – imports).
There's no udanganyifu there. Soma komenti ya sinister hapo juu. If you calculate the GDP using that approach the figure you get minus the previous GDP divided by the previous GDP multiplied by a hundred is equal to the GDP growth.Tumaliza kwanza na Kenya, tukitoka huko ndio tuelekee Tanzania. Kuhusu Kenya tumekubaliana kwamba kuna udanganyifu hapo 2015 na 2016?
Iweje nchi zingine zote inakubali lakini ikifika Kenya inakataa?, tena inakata kuanzia 2015 hadi 2018 pekee lakini miaka mingine yote inakubali?, hahahahaThis formula is quite fathomable. joto la jiwe is just confused. Kuna formula ya GDP yenyewe na ya GDP growth
Sawa nimekuelewa, sasa kwa kutumia hii formula yako, ninakuomba jibu swali lifuatalo;Nikubali nini wakati Formula unatumia ya St Kayumba! Hizi Shule mnafunzwa nini?
The following equation is used to calculate the GDP: GDP = C + I + G + (X – M) or GDP = private consumption + gross investment + government investment + government spending + (exports – imports).
Seems like you've just invented your own formula. The least we can do now is to wait for the economists to approve it.Iweje nchi zingine zote inakubali lakini ikifika Kenya inakataa?, tena inakata kuanzia 2015 hadi 2018 pekee lakini miaka mingine yote inakubali?, hahahaha
Hahahaha, wenzako wamegundua ukweli wameamua kutoroka. Ulale salama.Seems like you've just invented your own formula. The least we can do now is to wait for the economists to approve it.
Meanwhile, acha tusimame na lile tunaloamini