juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Gigy yupo choice fm kuanzia saa tatu usiku,,pindi bayakile cha gigy money kinaitwaje kile?
Naye ni mtangazaji [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kile cha gigy money kinaitwaje kile?
Kwani hiki ni program ya redio tumia akiliJamii forum ( jukwaa la siasa)
ana kipindi kizuri tu mzee kinaitwa malavidavi ni hatareeNaye ni mtangazaji [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hatari saana wa mikoani hatukifahamu etiana kipindi kizuri tu mzee kinaitwa malavidavi ni hataree
njoo dar full kunyegeshana si unamjua gigy money tena.? ana sauti halafu hana aibu mambo yote anamwaga hewani liveHatari saana wa mikoani hatukifahamu eti
Hahaaaa itabidi nije ila ntakua mgeni wako tusikilize wotee[emoji28] [emoji28] [emoji28]njoo dar full kunyegeshana si unamjua gigy money tena.? ana sauti halafu hana aibu mambo yote anamwaga hewani live
ahahaaa unaweza uhamie dar kwa ajili ya gigyHahaaaa itabidi nije ila ntakua mgeni wako tusikilize wotee[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Wacha bwanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ahahaaa unaweza uhamie dar kwa ajili ya gigy
kuna siku alikuwa anamuhoji dogo janja,akamuuliza nasikia dogo una kitu cha hatare halafu wewe sio mtu wa one minute.dogo akamuambia yapWacha bwanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu ni ant_efm kama hamjamuekewaMagic fm haipo mikoaa kibaoo tuu mbona ipoo hapoo