Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha kukurupuka,nimesema radio zisizoshika mikoani hazihusiki hapaUbaoni na Joto la Asubuhi kupitia Efm radio hawakamatiki hawa wengine chali mlalo wa mende
Mkuu acha mikurupukoMoshi FM na Kili FM wapo vizuri kila kipindi
Hiyo ni ya dar tu,haihusiki hapa na nimeweka angalizo.muwe mnasoma na kuelewa bhanduguLadha 3600, sport HQ
Kumbe unapenda kulowana!!njoo dar full kunyegeshana si unamjua gigy money tena.? ana sauti halafu hana aibu mambo yote anamwaga hewani live
njoo nikausheKumbe unapenda kulowana!!
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Hiyo ni ya dar tu,haihusiki hapa na nimeweka angalizo.muwe mnasoma na kuelewa bhandugu
Hahahahahahkile cha gigy money kinaitwaje kile?
Hapa naongelea redio kubwa zenye frequency mikoa yote au baadhi ya mikoa na sio redio inayosikika mkoa mmoja au wilaya moja,,so wale wa Dar naomba nisiihusishe E fm wala choice fm wala times fm wala praise power redio.
Mimi vipindi vyangu bora ni hivi[emoji116]
Terminal na xxl ( clouds fm)
morning magic(magic fm)
Kipimajoto na marumbano ya hoja(radio one stereo na capital radio)
The cruise(east Africa radio)
Mimi hivo ndio vipindi bora kwangu,na wewe ongezea vyako
kile cha gigy money kinaitwaje kile?
Nikiwa na Mtu wangu wa nguvu! Millard Ayo 88.5
Nakuletea story 10 !
Gigy yupo choice fm kuanzia saa tatu usiku,,pindi baya
Magic fm haipo mikoaa kibaoo tuu mbona ipoo hapoo
Naye ni mtangazaji [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
ana kipindi kizuri tu mzee kinaitwa malavidavi ni hataree
Msabwanda itv
kash kash za mtaa capital radio 101.3 fm
Ubaoni na Joto la Asubuhi kupitia Efm radio hawakamatiki hawa wengine chali mlalo wa mende
Malumbano ya hoja ni kipindi kizuri.
Napenda kuona wananchi wa kawaida wakijenga hoja ya mambo mbali mbali.
Ladha 3600, sport HQ
Mitikisiko ya pwani ndani ya times Fm
Morning jam capital radio
Moshi FM na Kili FM wapo vizuri kila kipindi
Wapo Radio matukio saa moja na robo asubuh mpaka saa mbili asubuh.
Pia na kipindi chao cha magazeti saa mbili mpaka saa tatu asubuh.
Saa saba napenda kusikiliza Doche velle kutoka bon.
Saa kumi Twenzetu Monalisa na Moko biashara. Muda mwingine na mara moja moja Jahazi Clouds fm.
Usiku kuanzia saa nne Mawaidha Radio imaan na muda mwingine Wapo Radio.
Hivyo ndio vipindi ninavyo sikiliza kila siku katika Maisha yangu.
Kumbe unapenda kulowana!!
Hawavumi lakini wamo ITV
Radio Maria pia, wanakipindi chao na Father Mhagama, huwa nakipenda sanaMkuu acha mikurupuko
Inasikika online hadi mikoani kwa hiyo mchezo hauhitaji hasira na wengine wanaipata kupitia Visimbuzi vya Azam ambavyo vimeenea TZ nzima na mwakani Efm wanatawala rasmi mikoani hadi litimbalyosi na kanchungulile kwa babuMkuu acha kukurupuka,nimesema radio zisizoshika mikoani hazihusiki hapa