kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Kwa kwa vipindi hivi mlivyotaja, tutaendelea kupigwa bao kimaendeleo na wenzetu, tutabaki kuwa soko la bidhaa zao.
Mimi napenda kusikiliza kipindi cha "ukulima wa kisasa na ufugaji wa kisasa" TBC Radio enzi hizo RTD , kipo kila siku Alhamis saa 8 mchana.
Kilimo kina wenyewe, kilimo kwa jembe la mkono kilimo gani? Kilimo pembejeo fake kila kona kilimo gani? Kilimo cha kutegemea mvua na si kilimo cha umwagiliziaji kilimo gani? Kilimo bira viwanda vya kusindika kilimo cha aina gani? Kilimo mabank riba zipo juu kama mkojo wa mlevi kilimo gani?
Kama unapenda kilimo wewe ndio mwenyewe icho kilimo, hivyo itapendeza wewe kuendelea kulima.