Hivi ndio vipindi bora vya redio.

Hivi ndio vipindi bora vya redio.

Kwa kwa vipindi hivi mlivyotaja, tutaendelea kupigwa bao kimaendeleo na wenzetu, tutabaki kuwa soko la bidhaa zao.

Mimi napenda kusikiliza kipindi cha "ukulima wa kisasa na ufugaji wa kisasa" TBC Radio enzi hizo RTD , kipo kila siku Alhamis saa 8 mchana.

Kilimo kina wenyewe, kilimo kwa jembe la mkono kilimo gani? Kilimo pembejeo fake kila kona kilimo gani? Kilimo cha kutegemea mvua na si kilimo cha umwagiliziaji kilimo gani? Kilimo bira viwanda vya kusindika kilimo cha aina gani? Kilimo mabank riba zipo juu kama mkojo wa mlevi kilimo gani?

Kama unapenda kilimo wewe ndio mwenyewe icho kilimo, hivyo itapendeza wewe kuendelea kulima.
 
Kwa kwa vipindi hivi mlivyotaja, tutaendelea kupigwa bao kimaendeleo na wenzetu, tutabaki kuwa soko la bidhaa zao.

Mimi napenda kusikiliza kipindi cha "ukulima wa kisasa na ufugaji wa kisasa" TBC Radio enzi hizo RTD , kipo kila siku Alhamis saa 8 mchana.
Jiongeze mkuu, usifikiri kusikiliza vipind kama hivi ndio wajinga, kila mtu anaburudani na ulevi wake baada ya kazi, tena wana hatua kubwa kimaendeleo tu
 
Kwa kwa vipindi hivi mlivyotaja, tutaendelea kupigwa bao kimaendeleo na wenzetu, tutabaki kuwa soko la bidhaa zao.

Mimi napenda kusikiliza kipindi cha "ukulima wa kisasa na ufugaji wa kisasa" TBC Radio enzi hizo RTD , kipo kila siku Alhamis saa 8 mchana.
Kwa kwa vipindi hivi mlivyotaja, tutaendelea kupigwa bao kimaendeleo na wenzetu, tutabaki kuwa soko la bidhaa zao.

Mimi napenda kusikiliza kipindi cha "ukulima wa kisasa na ufugaji wa kisasa" TBC Radio enzi hizo RTD , kipo kila siku Alhamis saa 8 mchana.
kilimo cha redioni ? huna lolote kama wewe mwanaume nenda shamba ukalime
 
kuna siku alikuwa anamuhoji dogo janja,akamuuliza nasikia dogo una kitu cha hatare halafu wewe sio mtu wa one minute.dogo akamuambia yap
akamwambia sio nakupa halafu sekunde wazungu haao .yaani ungesikia hayo mahojiano ungejua gigy mbaya!
Sio cha kusikiliza na watoto hiko kipindii
 
Radio One.
DJ Show Na Abubakar Sadiq.
Hoja ya Leo
Rafiki

EA
-Zembwela na Rita(Supamix)
-Plannet Bongo
-The crewz

Clouds.
-Jahazi
-xxl
-Kipindi cha J1 saa 0800 mpaka 1000.
-Njia panda.

RFA.
-Huu si uungwana
-Sintosahau
-Search line.

Vipo vingi ila hivyo ni kwa uchache.
 
Kipindi chchte kzur tu nikiwa na mpunga hata cha loveness lovee the diva ni kizur nikiwa na mpunga
 
Nilitamani niseme sitasahau ya RFA ila mwendeshaji wake wa sasa amekiharibu kabisa....hakina mvuto tena
 
Kwa kwa vipindi hivi mlivyotaja, tutaendelea kupigwa bao kimaendeleo na wenzetu, tutabaki kuwa soko la bidhaa zao.

Mimi napenda kusikiliza kipindi cha "ukulima wa kisasa na ufugaji wa kisasa" TBC Radio enzi hizo RTD , kipo kila siku Alhamis saa 8 mchana.
ni mawazo yako sio mbaya
 
Back
Top Bottom