Hivi ndio vipindi bora vya redio.

Wapo Radio matukio saa moja na robo asubuh mpaka saa mbili asubuh.

Pia na kipindi chao cha magazeti saa mbili mpaka saa tatu asubuh.

Saa saba napenda kusikiliza Doche velle kutoka bon.

Saa kumi Twenzetu Monalisa na Moko biashara. Muda mwingine na mara moja moja Jahazi Clouds fm.

Usiku kuanzia saa nne Mawaidha Radio imaan na muda mwingine Wapo Radio.

Hivyo ndio vipindi ninavyo sikiliza kila siku katika Maisha yangu.
 

kile cha gigy money kinaitwaje kile?

Nikiwa na Mtu wangu wa nguvu! Millard Ayo 88.5

Nakuletea story 10 !

Gigy yupo choice fm kuanzia saa tatu usiku,,pindi baya

Magic fm haipo mikoaa kibaoo tuu mbona ipoo hapoo

Naye ni mtangazaji [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

ana kipindi kizuri tu mzee kinaitwa malavidavi ni hataree

Msabwanda itv

kash kash za mtaa capital radio 101.3 fm

Ubaoni na Joto la Asubuhi kupitia Efm radio hawakamatiki hawa wengine chali mlalo wa mende

Malumbano ya hoja ni kipindi kizuri.
Napenda kuona wananchi wa kawaida wakijenga hoja ya mambo mbali mbali.

Ladha 3600, sport HQ

Mitikisiko ya pwani ndani ya times Fm

Morning jam capital radio

Moshi FM na Kili FM wapo vizuri kila kipindi


Kumbe unapenda kulowana!!


Hawavumi lakini wamo ITV

Kwa kwa vipindi hivi mlivyotaja, tutaendelea kupigwa bao kimaendeleo na wenzetu, tutabaki kuwa soko la bidhaa zao.

Mimi napenda kusikiliza kipindi cha "ukulima wa kisasa na ufugaji wa kisasa" TBC Radio enzi hizo RTD , kipo kila siku Alhamis saa 8 mchana.
 
Mkuu acha kukurupuka,nimesema radio zisizoshika mikoani hazihusiki hapa
Inasikika online hadi mikoani kwa hiyo mchezo hauhitaji hasira na wengine wanaipata kupitia Visimbuzi vya Azam ambavyo vimeenea TZ nzima na mwakani Efm wanatawala rasmi mikoani hadi litimbalyosi na kanchungulile kwa babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…