Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
nilichunguza nusu. ni kwamba watu wa education ndio hakuna wenye div 3 mchwara. ila honestly kwa faculty zingine wapo. kwa edn labda kama alianzia mafunzo ya awali au alisoma certificate/diploma ndio wanaochukuliwa.
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni
Etii..poor understanding ability sasa naanza kuelewa tulipotofautiana..kumbe ata uelewa wako sifuri..maskini sasa unakasirika nini?wewe ud si ungedisco first week..maana isingehitajika course work kuthibitisha umbumbumbu wako..lol..anyway ngja nijaribu kukusaidia a bit.ni hivi rafiki,,mtu akisha kuwa muke ya mtu that means ameshaolewa na sio tena kungoja kuolewa umeelewa ehh??kwakwakwaah...kama kawaida yako muyahudi anakutoa ja.mba ,ja.mbaa..dah..Kwa umbumbumbu huo jaman utanunia vyuo na wanawake wote waliotoka kiskul na walio olewa pa kueleweka...toa toa povu mpaka ukaukee...u don't fit our profile mamaa
hivi wewe mbona una mtusi sana mwenzako? napata shaka wew husomi ud na ka unasoma bas uko certificate hakuna degree inayoweza andika upumbavu ka huu? kiingereza chenyewe hujui, ushambenga tu, jieshimu wew kiberenge....noteby-am not kinda yo type aint replyn shit bitch..

Naomba mwenye namba za UHAMIAJI please, hapa kuna mhamiaji haramu!
na mkulu umemsahau,mkubwa wa li nchi,nadhani uwezo wake kwa sababu ya chuo chake alichosoma unaonekana.
UDSM! wengine wote still loading