Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
nilichunguza nusu. ni kwamba watu wa education ndio hakuna wenye div 3 mchwara. ila honestly kwa faculty zingine wapo. kwa edn labda kama alianzia mafunzo ya awali au alisoma certificate/diploma ndio wanaochukuliwa.
THREE zote uchwaraaa hamnaga three nzuri!three zote mbaya