Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

nilichunguza nusu. ni kwamba watu wa education ndio hakuna wenye div 3 mchwara. ila honestly kwa faculty zingine wapo. kwa edn labda kama alianzia mafunzo ya awali au alisoma certificate/diploma ndio wanaochukuliwa.

THREE zote uchwaraaa hamnaga three nzuri!three zote mbaya
 
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni

teh teh! Ukiona wanaanza kujadili vyuo ujue hawana ajira! Mbona cc tumesoma vyuo vya kata lakin tuna GPA za maana na tumewapiga hatrick kwenye interview! Poor mind think no big! Halaf hii tabia nilikuwa nayo pr scool na nilisha iachaga tangu form2!
 
Etii..poor understanding ability sasa naanza kuelewa tulipotofautiana..kumbe ata uelewa wako sifuri..maskini sasa unakasirika nini?wewe ud si ungedisco first week..maana isingehitajika course work kuthibitisha umbumbumbu wako..lol..anyway ngja nijaribu kukusaidia a bit.ni hivi rafiki,,mtu akisha kuwa muke ya mtu that means ameshaolewa na sio tena kungoja kuolewa umeelewa ehh??kwakwakwaah...kama kawaida yako muyahudi anakutoa ja.mba ,ja.mbaa..dah..Kwa umbumbumbu huo jaman utanunia vyuo na wanawake wote waliotoka kiskul na walio olewa pa kueleweka...toa toa povu mpaka ukaukee...u don't fit our profile mamaa

hivi wewe mbona una mtusi sana mwenzako? napata shaka wew husomi ud na ka unasoma bas uko certificate hakuna degree inayoweza andika upumbavu ka huu? kiingereza chenyewe hujui, ushambenga tu, jieshimu wew kiberenge....noteby-am not kinda yo type aint replyn shit bitch..
 
Hahahaah no wonder your name is 666 chata!!!!!.....embu ngja nikutupe ukoo maana ata sijui how many rats you got upstairs...
 
hivi wewe mbona una mtusi sana mwenzako? napata shaka wew husomi ud na ka unasoma bas uko certificate hakuna degree inayoweza andika upumbavu ka huu? kiingereza chenyewe hujui, ushambenga tu, jieshimu wew kiberenge....noteby-am not kinda yo type aint replyn shit bitch..

Vtu haujui vilipoanzia unadakia lol akyanani usengerema ishuu..!!,we kama una nini nae mtafte mkafir.ane uko empty minded!!..,nani alieanza kumtusi mwnzake kati yangu na yeye?..how comes una ni accuse Mimi we vpi.,and sijamtusi lolote nimempa tuu facts unaelewa maana ya matusi weweeh?,eti hauna time kunijbu kumbe hapo umejbuje?..kwahkwah yaani you made my day mbavu zanguu anyway nimekuelewa 666chata +muyahudi Mrs??...damu tofauti saaana we shetwanii mie mbarikiwa wapi na wapi hyo user name yangu naona imekuunguzaaa ...nenda kuzmu Kwa damu ya yesu shindwaaa
 
na mkulu umemsahau,mkubwa wa li nchi,nadhani uwezo wake kwa sababu ya chuo chake alichosoma unaonekana.

Ha haaaa. Kwakweli maana tunaona tu inputs zake mf. Kuongezeka kwa foleni Dar ni maendeleo ha haaaaaa
 
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni

Akili zako fupi ka' maisha ya funza, kiazi wewe! wali maini mkubwa wewe!!
 
Back
Top Bottom