Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

Unakuta chuo kama SAUT LL,B wanachukua mpaka iii.17 jamani huu ni ujinga mtupu halafu eti unakuta ana G.P.A ya 4.5 duh hii ni hatari chunguzeni wengi wenye three chafu wapo saut,university of arusha,ruco,,mwenge,teku huko ndo wamejaa


kijana no research no right to comment. SAUT MWANZA kama huna cut point ya 4.5 kupanda juu sahau kuwa mwanachuo wa SAUT. nadhani unaelewa inaanzia division ngapi hadi ngapi. so usije ukabahatisha div 3 ya 15 ukajipa matumaini ya kujenga jiji la Mungu. SAHAU
 

Aah shyja mbna nawajua wengi wapo sauti na hzo div mchwaraa?au wameanza this year kuweka hzo cut points za juu mkuu?
 
Mie naomba niwaulize eti mkiwwkewa admissions letters za ud na Chuo chochota kati ya tajwa hapo juu..wangapi mtatupa kulee ya udsm?swali tuu jaman nawapenda saana
 
SAUT ndo chuo kinachoongoza kuchukua three chafu tanzania a.k.a zoa zoa
Kijana maliza masomo yako hapo Harvard, halafu uje tubanane kwenye ajira na sisi tuliosoma hapo unapopaita zoazoa
 
Yaani ukishakula makande we ni kujamb*a tuu na kuandika ujinga!
 

Acheni ubaguzi wa kielimu na tupiganie maendeleo ya kielimu. Sikusoma udsm na niko vizuri practically and theoretical na nna GPA kali na nifanya outstanding things nikiwa chuo changu unachokiita cha kata. Masters udsm nkatinga jamaa wa hapohapo na vGPA vyao vya 2. wakaanza aah wap utapataje GPA ya 4. we chuo cha kata nkasema itajiambia na kila paper jamaa niliwalaza chini. Acha dharau nahisi hata wewe una gentleman ndo maana unaendekeza ubaguzi wa ki*****u. Tuambie umefanya kitu gani peculiar zaidi ya kuzunguka makoridoni kuomba uongezwe kwenye list ya assignment ilihali ulikuwa unaangalia series.
 
mh! ndo mana tz inaongoza kwa kuwa na elim dun EACs,if wasom wenywe ndo hawa? unajcfia chuo badala ya competence u hav?
 
2be a scholar means u hav a critical thinking..4 u, u lack this..ww ni sawa na taifa stars ambao hata waghalamiwe vp,,
 

C.C ODILI SAMALU
 


Japo sijasoma ktk chuo chochote kati ya hivyo ulivyotaja, ningependa nifahamu yafuatayo kutoka kwako msomiODILI SAMALU:

1. Vyuo visivyo vya kata ni vipi hivyo?

2. Hivyo ulivyosema vya kata vipo kata gani/zipi?

3. unatofautishaje hivo ulivyovitaja na hicho ulichopo/unachosoma?

4. Chuo kikuu maana yake ni nini?


5. wewe unasoma au unasomea chuo kikuu?
 
Mie naomba niwaulize eti mkiwwkewa admissions letters za ud na Chuo chochota kati ya tajwa hapo juu..wangapi mtatupa kulee ya udsm?swali tuu jaman nawapenda saana

Chonde chonde muke ya muyahudi , Nini hicho ulichoandika kwenye RED? Kama wewe ndio mara yako ya kwanza kukanyaga UDSM acha mapepe tulia. Hata semister ya kwanza hujamaliza unaanza kuropoka! Pia, acha kabisa kutuaibisha Alumni wa UDSM kwa uandishi wa hovyo namna hiyo! Bora ufanye kazi ya kumbembeleza mumeo(myahudi) maana hiyo ndiyo inayokufaa sana!!
 

Hahahaah wewe chem nini sijui unachekesha lol ...unamtathmini mtu ambae ata haumjui ...eti first semester emb kalale ka hauna cha kuandka kuna ajabu gani mtu kukosea kutype kama haujaelewa ni wewe Kwa ufinyu Wa akili zako...deal with it by yourself... kwani nipo kwenye mtihani hapa mpaka nitoe povu kuandka kila herufi sahihi we vipi ..Nina mambo mengi ya muhimu that's why nilikuwa naandka fast plus kumfunga beb tie of course hujakoseaa saana mfyuuuu
 

Eti na wewe umepta Chuo...hapo sasa umejibu nini?ume argue up.upu gani?bdala ya kujibu content unajibu ambavyo ata havihusu ndo nyie mkifka kwenye paper mnaanza kuandka majibu yote Kwa herufi kubwa kwekwwkwee sitomsahau dr mbamba watu kama nyie alikuwa anawadiscolisha wote its a big sign of illiteracy!.... na Kwa infor yako ata kabla sijakudosea proffesion yangu wewe kuku ...wayahudi uwa hawaoi mambumbumbuuu...ni wewe tuu haujui...kama hauna hoja za kuchangia Fanya mengne hauna kalale
 

Sasa Mimi na wewe hapo nani anaiabisha udsm?alafu hey!..point of correction!.. sisomi udsm...nilisoma udbs!..mfyuu don't wish to know my proffesion..mijtu mingne hapo ud inasomea culture blah blah ..sjui linguistic my a.ss stupid courses utakuta janaume zima kama wewe unachukua what do you expect?of course utakuwa na akili za hvyo hvyo kike kike no wonder why umekaa hapo unamsuta mwanamke hvi kweli dume zma ukasutane na mwanamke!..zmo zote?yeah ni kusuta cz umeacha content ya mada unaongelea vtu ambvyo havihusuu hautoi hoja yeyoteee...lol....ndio maana udbs iliamua kuanzsha school yake aisee manake ukisema udsm mmhhh wengne tunabebeshwa mazgo isiyo yetu..ishu sio udsm tuu..ishu udsm course ganiiiiiiii?...umeskia wewe linguistic!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…