ukivuta bangi ndo utaelewa kwann unaeza pigana na mtaa akili ikirandukaNiliuliza maswali mawili
1.) Panya Road wametoa wapi Noah?
2.) Hivi mtu mwenye silaha ya moto anakwambia shuka halafu ushuke na panga?
Hili linafikirisha sana eti panya road wako kwenye noah halafu wanauwawa wote kweli kuna mambo yanayofanywa na polisi ambayo ni aibu hata kusikiliza kweli mikono ya Polisi imejaa damu na hizi operesheni za kukurupuka maskini jiandaeni kisaikolojia watoto wenu wanakuja kusombwa wawe wahalifu au sio mtajua wenyeweNiliuliza maswali mawili
1.) Panya Road wametoa wapi Noah?
2.) Hivi mtu mwenye silaha ya moto anakwambia shuka halafu ushuke na panga?
Bila shaka unaongelea yanayoendelea hapa nchini Puerto Rico Mkuu au?Hili linafikirisha sana eti panya road wako kwenye noah halafu wanauwawa wote kweli kuna mambo yanayofanywa na polisi ambayo ni aibu hata kusikiliza kweli mikono ya Polisi imejaa damu na hizi operesheni za kukurupuka maskini jiandaeni kisaikolojia watoto wenu wanakuja kusombwa wawe wahalifu au sio mtajua wenyewe
Hao vijana wanao kaa vijiweni tokea maeneo mengine mtawatambuaje, dawa yao ni kuwapelekea himmars tu , Mungu ndo ataenda kuchuja hukoKuna waliokamatwa na askari kwa kesi ya uzururaji ahsubuhi na kusekwa rumande!! Kwamba eti wanaweza kuwa panya road [emoji23] [emoji23] [emoji23]!
Nina uhakika asilimia 100% sio wote walio uliwa wanahatia..
Kuna namna nchi tunakosea pakubwa sana bila kuwa na maono ya mbali tutapotea.. kuwasaidia tu ongezeni nguvu kwa wajumbe wa nyumba 10/10 kusanyeni maelezo kupitia huko na hakikisheni vijana wote wote wanajisajili kupitia wajumbe husika na shughuli zao itakuwa ni mwanzo tu.. watakao kaidi hao mnaanza nao taratibu mbiambie kama panya barabara wataendelea kuwepo
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa sana mkuuNiko njiani Kurejea Mkuu. Mfano leo Mkuu wa Police wa Mkoa wa Kibiashara hapa Puerto Rico Afande Rolimu ametudanganya wazi wazi kuwa Wamewaua baadhi ya Wahalifu wa Matukio mabaya ya hivi karibuni wakati wenye Akili tumegundua kuwa hao Waliowaua ni wale Majambazi Sugu na Wamewaua ili Kumlinda IGP Wao, Kulinda Nafasi ( Nyadhifa ) zao lakini pia Kumzuga Mheshimiwa Rais ili asikasirike.
Bora tu nirejee zangu huko Tanzania.
Nipo mji wa San Juan hapa walipojaa watoto wa Caribbean flavour.. ningerudi tz lakini hawatoto sio poa Acha nikomae hivyohivyo tuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu kwani na Wewe tuko wote hapa nchini Puerto Rico au labda Umechanganya Uzi?
Kama tuko wote turejee tu Tanzania.
Oya mbona unataka sasa kuanza Kutupandisha Nyege wengine kwa hizi Picha zaiko Tukuka na Shawishi?Nipo mji wa San Juan hapa walipojaa watoto wa Caribbean flavour.. ningerudi tz lakini hawatoto sio poa Acha nikomae hivyohivyo tuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 2361349View attachment 2361350
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Kwani mkuu ni kivutio gani kilikuleta Puerto rico?.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oya mbona unataka sasa kuanza Kutupandisha Nyege wengine kwa hizi Picha zaiko Tukuka na Shawishi?
JamiiForums Members nimewavulia Kofia kwa Ubobezi Uliotukuka wa kujua Kuufungua Codes. Shikamooni......!!!!!!Hao polisi was huko kwenu ni wa ajabu Sana yote wameongea wameshindwa kutuambia ile Noah inamilikiwa na nani au ni wale watoto?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mku hao wa Barabarani ukisema ndio hao ninakukatalia kwani kumbuka maisha yamekuwa magumu kwa wazazi na vijana na haya yote kutokea sio ajabu.Panya road ni vijana wadogo sana, wengi wao ni watoto wa mtaani kwa maana wamekuja kusaka maisha wakitokea mikoani ama wameshindikana majumbani mwao hivyo wameamua kuingia kitaa.
Mchana wanaomba na kuosha vioo vya magari pale ubungo na mwenge, wengine wanazunguka kule feri na coco munawaita beach boy, sijui kama kuna mmoja wetu hapa keshabahatisha kuona wakipigana wenyewe kwa wenyewe baada ya kuzulumiana, hautatizama mara mbili, viwembe, visu na mawe ndio silaha.
Sasa jiulize wakikuvamia wewe kwako unadhani kukucharanga na mapanga kwao ni ishu?
Polisi wasituzuge, hawa watoto wapo na watajibu mapigo muda sio mrefu, ondoeni hawa vijana barabarani, ni bomu.
Imbecile.Halafu unajiita mzee wa medani kwa ufala huu,kila siku mambo ya kike kike tu.[emoji41]
Kwa kutumia ABCD haiwezekaniNiliuliza maswali mawili
1.) Panya Road wametoa wapi Noah?
2.) Hivi mtu mwenye silaha ya moto anakwambia shuka halafu ushuke na panga?