Hivi ndivyo Askari Police wa hapa Puerto Rico 'Wanavyoua' Wahalifu ili Kumridhisha Rais baada ya kutokea Tukio baya ambalo Wamelishindwa

Hivi nyie watheenge mnataka serikali ifanyaje heti???
 
Niliuliza maswali mawili

1.) Panya Road wametoa wapi Noah?

2.) Hivi mtu mwenye silaha ya moto anakwambia shuka halafu ushuke na panga?
Nyie ndio wafadhili wakuu wa huo mtandao wa uhalifu, lazima mchukie polisi wakifanya hiyo oparation kuwamaliza
 
Mmebakia kukosoa kila kitu mapunguani nyie,polisi wamehamua kudili na hao wahalifu bado mnakosoa wapumbavu nyie
 

Cha kushangaza zaidi ni mizungu ya Buza inavyokenua inaposikia kuna wanaoitwa panya road wameuwawa. Bado tunasafari ndefu.
 
Mmebakia kukosoa kila kitu mapunguani nyie,polisi wamehamua kudili na hao wahalifu bado mnakosoa wapumbavu nyie
Kukosoa kwa kujenga.. ili tuwe na amani ya kudumu puerto rico

Imagine unandugu yako unajua ni mlokole kabisa alafu unakuja kuambiwa ameuawa kama panya road.. huoni kama itakuwa ni kidonda kikubwa kwa familia husika?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo we chizi ulitakaje? Polisi wasifanye hiyo operation ya kusaka wahalifu???
 

wakati afande sasamboma anatutia kamba sakata la gulamabasi,mpokea ripoti aliwaka kwamba "msidhani wana puerto rico ni mapopoma"

sema nini wanangu,kwa namna inji ianvyokwenda kwa sasa,unawezajikuta unakonda ukiwa serious sana[emoji1787]
 
Niliuliza maswali mawili

1.) Panya Road wametoa wapi Noah?

2.) Hivi mtu mwenye silaha ya moto anakwambia shuka halafu ushuke na panga?

Au wenye mammalaka walimaanisha "panyaroad walikutwa na Nguruwe na Mapanga mikononi"
 
Mmebakia kukosoa kila kitu mapunguani nyie,polisi wamehamua kudili na hao wahalifu bado mnakosoa wapumbavu nyie
Aliyekukataza wewe kuendelea kusifia kila kitu ni nani, wewe endelea kusifia acha wanaofikiria tofauti waendelee kufikiria hivyo, ni human nature, tafuta dafu changanya na ndimu, itakusaidia siku iishe fresh, pole sana hasira kwa ulizo nazo.
 
Mku hao wa Barabarani ukisema ndio hao ninakukatalia kwani kumbuka maisha yamekuwa magumu kwa wazazi na vijana na haya yote kutokea sio ajabu.
Ni kweli chief, binafsi nadhani hao wa road wanatumika zaidi, ni rahisi hata kutumwa, najiliza kama wanavamia vijana 10 kuendelea, halafu wanaiba tv na simu, unadhani hivyo vitu wanauza wapi kama sio kuna mdau wanampelekea halafu yeye anawapa cut, mi nadhani badala ya kuwaua wajitahidi wawakamate wawabane vizuri hasa, wataeleza kila kitu.
Maoni yangu.
 
Niliuliza maswali mawili

1.) Panya Road wametoa wapi Noah?

2.) Hivi mtu mwenye silaha ya moto anakwambia shuka halafu ushuke na panga?
Noah hutumia kubeba vitu vya wiZi,hata waliokamatwa vingunguti na vitu vya wizi walikuwa na Noah
 
Kuna jamaa yangu yupo na dogo kwenye gari,wakasimama kituo flani akamtuma dogo akanunue machungwa gengeni,anarudi kwenye gari akadakwa muda huo huo anapandishwa kwenye gari eti panya Road! Jamaa alipambana mpaka ikamtoka 20 dogo akaachiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…