Mwaka 2020 wakati wa Kampeni za uchaguzi Mkuu, nilikuwa nawaambia viongozi wangu kuwa ni lazima CCM watatuibia kura kwa mtindo Mpya kabisa.
Sababu ya kusema hivyo ilikuwa ni jinsi CCM walivyopunguza matumizi ya mabavu ya dola dhidi ya CHADEMA kwenye Kampeni za uchaguzi ule.
Hapo chini nimeweka clip inayosawiri mbinu wanazotumia CCM kuwaibia CHADEMA kura bila ya CHADEMA kung'amua wameibiwaje kura.
View attachment 3093996