Hivi ndivyo David Kafulila alivyotua mbele ya sanamu la Mwalimu Nyerere New Delhi nchini India

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula.

Na ambaye amekuwa akisifiwa sana kwa uchapakazi wake, misimamo ya kizalendo,Maono,Ubunifu katika kazi na upeo wake mkubwa ameweza kufika eneo hilo palipo na sanamu ya Mwalimu Nyerere.

Hii maana yake nini? Hii inamaanisha kutambua mchango mkubwa wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere Mzalendo wa kweli wa Taifa letu katika kulijenga kuwa Nchi na Taifa lenye heshima siyo tu Afrika bali Duniani Kwote. Ni katika kiu ya kutaka kuyaishi maono ya Baba wa Taifa aliyeichukia rushwa, ufisadi, unyonyaji,ubaguzi na vitendo vyote vya maonezi kwa watu hususani wanyonge.

Hii inaonyesha Chuma David Kafulila bado anaisikia Sauti ya Hayati Mwalimu Nyerere ndani yake ikimkumbusha wajibu wake kwa Taifa .na anaona bado ana wajibu na jukumu kubwa sana la kufanya kwa Taifa letu. Hii inaonyesha Chuma David Kafulila akiona Kizazi cha kesho kikimhitaji atimize vyema wajibu wake kwa Tanzania bora.

Ndio sababu mzalendo huyu wa kweli anayekumbukwa na kuacha alama kila alipofanya kazi tangia akiwa Mbunge,RAS Songwe,RC Simiyu na sasa Mkurugenzi PPP amekuwa akifanya kazi kubwa sana na kwa nguvu zake zote kuwatumikia watu,kuleta matokeo Chanya na yenye kuacha alama kama alivyofanya kule Simiyu kwenye zao la Pamba.

Kwake Mheshimiwa Kafulila uongozi ni utumishi kwa watu,kuwapa watu matumaini,kuwatatulia kero,kuwapa majibu,kuwawashia taa,kuwatoa gizani,kuwaonyesha njia,kuwawezesha na kuwasadia.ndio maana amekuwa mtu msikivu na mnyenyekevu sana na asiye na makuu wala kujikweza kwa mtu.
IMG-20240928-WA0008_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Kafulila na Nyerere wanafanana zaidi,

Nyerere alichukia sana rushwa na ndivyo ilivyo Leo kwa Kafulila,

Nyerere alichukia sana Ufisadi na ndivyo ilivyo Leo kwa Kafulila

Nyerere alichukia sana matumizi mabaya ya Fedha za Umma na ndivyo ilivyo Leo kwa Kafulila

Kafulila na Mwl Nyerere similarities ni nyingi kuliko differences

Kwako Lucas 😆😆
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula.

Na ambaye amekuwa akisifiwa sana kwa uchapakazi wake, misimamo ya kizalendo,Maono,Ubunifu katika kazi na upeo wake mkubwa ameweza kufika eneo hilo palipo na sanamu ya Mwalimu Nyerere.

Hii maana yake nini? Hii inamaanisha kutambua mchango mkubwa wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere Mzalendo wa kweli wa Taifa letu katika kulijenga kuwa Nchi na Taifa lenye heshima siyo tu Afrika bali Duniani Kwote. Ni katika kiu ya kutaka kuyaishi maono ya Baba wa Taifa aliyeichukia rushwa, ufisadi, unyonyaji,ubaguzi na vitendo vyote vya maonezi kwa watu hususani wanyonge.

Hii inaonyesha Chuma David Kafulila bado anaisikia Sauti ya Hayati Mwalimu Nyerere ndani yake ikimkumbusha wajibu wake kwa Taifa .na anaona bado ana wajibu na jukumu kubwa sana la kufanya kwa Taifa letu. Hii inaonyesha Chuma David Kafulila akiona Kizazi cha kesho kikimhitaji atimize vyema wajibu wake kwa Tanzania bora.

Ndio sababu mzalendo huyu wa kweli anayekumbukwa na kuacha alama kila alipofanya kazi tangia akiwa Mbunge,RAS Songwe,RC Simiyu na sasa Mkurugenzi PPP amekuwa akifanya kazi kubwa sana na kwa nguvu zake zote kuwatumikia watu,kuleta matokeo Chanya na yenye kuacha alama kama alivyofanya kule Simiyu kwenye zao la PambaView attachment 3109171

Kodi zetu Oyeeeeeee

Tuendelee kulipa Kodi bila kinyongo zipatikane Pardm za watumishi kwenda Nje ya inchi
 
Hivi yule Kafulila sijui Ngapulila alieimbiwa nyimbo na DDC Mlimani Park sijui Vijana Jazz ndio huyu au mwingine?
 
Hilo li sanamu lipo kwenye ubalozi wa Tanzania ambapo limejengwa Kwa gharama za watanzania.Siyo kama unavyotaka kulipa sifa za kijinga kama vile wamelijenga wahindi.
 
😀😀. Ila kiukweli Mheshimiwa Kafulila ni Mzalendo sana na mtu aliyenyooka kama rula.
 
Hilo li sanamu lipo kwenye ubalozi wa Tanzania ambapo limejengwa Kwa gharama za watanzania.Siyo kama unavyotaka kulipa sifa za kijinga kama vile wamelijenga wahindi.
Kwani wapi nimesema wamejenga wahindi katika andiko langu? Au umekurupuka tu ndugu yangu mtanzania
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula.

Na ambaye amekuwa akisifiwa sana kwa uchapakazi wake, misimamo ya kizalendo,Maono,Ubunifu katika kazi na upeo wake mkubwa ameweza kufika eneo hilo palipo na sanamu ya Mwalimu Nyerere.

Hii maana yake nini? Hii inamaanisha kutambua mchango mkubwa wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere Mzalendo wa kweli wa Taifa letu katika kulijenga kuwa Nchi na Taifa lenye heshima siyo tu Afrika bali Duniani Kwote. Ni katika kiu ya kutaka kuyaishi maono ya Baba wa Taifa aliyeichukia rushwa, ufisadi, unyonyaji,ubaguzi na vitendo vyote vya maonezi kwa watu hususani wanyonge.

Hii inaonyesha Chuma David Kafulila bado anaisikia Sauti ya Hayati Mwalimu Nyerere ndani yake ikimkumbusha wajibu wake kwa Taifa .na anaona bado ana wajibu na jukumu kubwa sana la kufanya kwa Taifa letu. Hii inaonyesha Chuma David Kafulila akiona Kizazi cha kesho kikimhitaji atimize vyema wajibu wake kwa Tanzania bora.

Ndio sababu mzalendo huyu wa kweli anayekumbukwa na kuacha alama kila alipofanya kazi tangia akiwa Mbunge,RAS Songwe,RC Simiyu na sasa Mkurugenzi PPP amekuwa akifanya kazi kubwa sana na kwa nguvu zake zote kuwatumikia watu,kuleta matokeo Chanya na yenye kuacha alama kama alivyofanya kule Simiyu kwenye zao la PambaView attachment 3109171

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni kama yule wa Chato
 
CHADEMA mnamawazo ya kimasikini sana, Mnapataje Wawekezaji kama hamuendi kuwatafuta?
CHADEMA wao watakwambia mbowe ndio mwekezaji kama alivyowekeza kwenye chama chake na kuwa kama mali yake binafsi na mwenyekiti wa kudumu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula.

Na ambaye amekuwa akisifiwa sana kwa uchapakazi wake, misimamo ya kizalendo,Maono,Ubunifu katika kazi na upeo wake mkubwa ameweza kufika eneo hilo palipo na sanamu ya Mwalimu Nyerere.

Hii maana yake nini? Hii inamaanisha kutambua mchango mkubwa wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere Mzalendo wa kweli wa Taifa letu katika kulijenga kuwa Nchi na Taifa lenye heshima siyo tu Afrika bali Duniani Kwote. Ni katika kiu ya kutaka kuyaishi maono ya Baba wa Taifa aliyeichukia rushwa, ufisadi, unyonyaji,ubaguzi na vitendo vyote vya maonezi kwa watu hususani wanyonge.

Hii inaonyesha Chuma David Kafulila bado anaisikia Sauti ya Hayati Mwalimu Nyerere ndani yake ikimkumbusha wajibu wake kwa Taifa .na anaona bado ana wajibu na jukumu kubwa sana la kufanya kwa Taifa letu. Hii inaonyesha Chuma David Kafulila akiona Kizazi cha kesho kikimhitaji atimize vyema wajibu wake kwa Tanzania bora.

Ndio sababu mzalendo huyu wa kweli anayekumbukwa na kuacha alama kila alipofanya kazi tangia akiwa Mbunge,RAS Songwe,RC Simiyu na sasa Mkurugenzi PPP amekuwa akifanya kazi kubwa sana na kwa nguvu zake zote kuwatumikia watu,kuleta matokeo Chanya na yenye kuacha alama kama alivyofanya kule Simiyu kwenye zao la PambaView attachment 3109171

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Ameondoka na matendo gani huyo babu?
 
Kafulila na Nyerere wanafanana zaidi,

Nyerere alichukia sana rushwa na ndivyo ilivyo Leo kwa Kafulila,

Nyerere alichukia sana Ufisadi na ndivyo ilivyo Leo kwa Kafulila

Nyerere alichukia sana matumizi mabaya ya Fedha za Umma na ndivyo ilivyo Leo kwa Kafulila

Kafulila na Mwl Nyerere similarities ni nyingi kuliko differences

Kwako Lucas 😆😆
Umenena ukweli kabisa na ndicho hata mimi nilichokieleza katika andiko langu. Mheshimiwa kafulia anafuata nyayo za Baba wa Taifa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula.

Na ambaye amekuwa akisifiwa sana kwa uchapakazi wake, misimamo ya kizalendo,Maono,Ubunifu katika kazi na upeo wake mkubwa ameweza kufika eneo hilo palipo na sanamu ya Mwalimu Nyerere.

Hii maana yake nini? Hii inamaanisha kutambua mchango mkubwa wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere Mzalendo wa kweli wa Taifa letu katika kulijenga kuwa Nchi na Taifa lenye heshima siyo tu Afrika bali Duniani Kwote. Ni katika kiu ya kutaka kuyaishi maono ya Baba wa Taifa aliyeichukia rushwa, ufisadi, unyonyaji,ubaguzi na vitendo vyote vya maonezi kwa watu hususani wanyonge.

Hii inaonyesha Chuma David Kafulila bado anaisikia Sauti ya Hayati Mwalimu Nyerere ndani yake ikimkumbusha wajibu wake kwa Taifa .na anaona bado ana wajibu na jukumu kubwa sana la kufanya kwa Taifa letu. Hii inaonyesha Chuma David Kafulila akiona Kizazi cha kesho kikimhitaji atimize vyema wajibu wake kwa Tanzania bora.

Ndio sababu mzalendo huyu wa kweli anayekumbukwa na kuacha alama kila alipofanya kazi tangia akiwa Mbunge,RAS Songwe,RC Simiyu na sasa Mkurugenzi PPP amekuwa akifanya kazi kubwa sana na kwa nguvu zake zote kuwatumikia watu,kuleta matokeo Chanya na yenye kuacha alama kama alivyofanya kule Simiyu kwenye zao la Pamba.

Kwake Mheshimiwa Kafulila uongozi ni utumishi kwa watu,kuwapa watu matumaini,kuwatatulia kero,kuwapa majibu,kuwawashia taa,kuwatoa gizani,kuwaonyesha njia,kuwawezesha na kuwasadia.ndio maana amekuwa mtu msikivu na mnyenyekevu sana na asiye na makuu wala kujikweza kwa mtu.View attachment 3109171

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kafulila ni hazina kwa nchi
 
Kafulila na Nyerere wanafanana zaidi,

Nyerere alichukia sana rushwa na ndivyo ilivyo Leo kwa Kafulila,

Nyerere alichukia sana Ufisadi na ndivyo ilivyo Leo kwa Kafulila

Nyerere alichukia sana matumizi mabaya ya Fedha za Umma na ndivyo ilivyo Leo kwa Kafulila

Kafulila na Mwl Nyerere similarities ni nyingi kuliko differences

Kwako Lucas 😆😆
Kafulila kama Nyerere?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula.

Na ambaye amekuwa akisifiwa sana kwa uchapakazi wake, misimamo ya kizalendo,Maono,Ubunifu katika kazi na upeo wake mkubwa ameweza kufika eneo hilo palipo na sanamu ya Mwalimu Nyerere.

Hii maana yake nini? Hii inamaanisha kutambua mchango mkubwa wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere Mzalendo wa kweli wa Taifa letu katika kulijenga kuwa Nchi na Taifa lenye heshima siyo tu Afrika bali Duniani Kwote. Ni katika kiu ya kutaka kuyaishi maono ya Baba wa Taifa aliyeichukia rushwa, ufisadi, unyonyaji,ubaguzi na vitendo vyote vya maonezi kwa watu hususani wanyonge.

Hii inaonyesha Chuma David Kafulila bado anaisikia Sauti ya Hayati Mwalimu Nyerere ndani yake ikimkumbusha wajibu wake kwa Taifa .na anaona bado ana wajibu na jukumu kubwa sana la kufanya kwa Taifa letu. Hii inaonyesha Chuma David Kafulila akiona Kizazi cha kesho kikimhitaji atimize vyema wajibu wake kwa Tanzania bora.

Ndio sababu mzalendo huyu wa kweli anayekumbukwa na kuacha alama kila alipofanya kazi tangia akiwa Mbunge,RAS Songwe,RC Simiyu na sasa Mkurugenzi PPP amekuwa akifanya kazi kubwa sana na kwa nguvu zake zote kuwatumikia watu,kuleta matokeo Chanya na yenye kuacha alama kama alivyofanya kule Simiyu kwenye zao la Pamba.

Kwake Mheshimiwa Kafulila uongozi ni utumishi kwa watu,kuwapa watu matumaini,kuwatatulia kero,kuwapa majibu,kuwawashia taa,kuwatoa gizani,kuwaonyesha njia,kuwawezesha na kuwasadia.ndio maana amekuwa mtu msikivu na mnyenyekevu sana na asiye na makuu wala kujikweza kwa mtu.View attachment 3109171

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Surat Al-Anbiya (21:52-54):"(Ibrahim) Alisema: 'Je, mnawaabudu masanamu haya ambayo mnaichonga wenyewe? Wala Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni nyinyi na mnayoyafanya.'"
 
Back
Top Bottom