Hivi ndivyo David Kafulila alivyotua mbele ya sanamu la Mwalimu Nyerere New Delhi nchini India

Aliyetengeneza hiyo picha/sanamu hakuakisi au kukariri sura halisi ya JKNB.
Mwalimu, hayati, Rais Julius Kambarage Nyerere Burrito.
 
Umenena ya kweli kabisa
 
Kafulila misifa😆😆
 
Tumbili aliyekataliwa na mke kaamua kujifariji kwenye sanamu ambalo halinauhalisia wa Nyerere.
 
CHADEMA wao watakwambia mbowe ndio mwekezaji kama alivyowekeza kwenye chama chake na kuwa kama mali yake binafsi na mwenyekiti wa kudumu.
Ajabu Chadema ndiyo watu mnaowalenga kuwauwa na ndiyo wengi mmewauwa kuliko vyama vingine vilivyo mfukoni mwenu. Wanuka damu nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…