Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Ideology na a mastered system hadi sasa havija onekana.
Chemistry ya team, utambulisho na team plan ya hadi sasa havionekani kuwa vimeshawekwa kimkakati.
Usajili wa Antony, ulikuwa ni moja ya gamble kubwa sana aliofanya ten hag, kwa maana kwa wakati ule goals + assists za jamaa hazikuwa za kushawishi, ila hadi sasa hatujui kipi cha zaidi antony anacho ki-offer. Jamaa hawezi tumia mguu wa kulia kupelekea kutoweza kutoa assist kwa striker mguu ukiwa upande wake. Ila jamaa akamwaga pesa nyingi sana. Leo tunashindwa kuelewa kipi antonya alicho nacho zaidi ya pellistri na garncho.
Mount ni mchezaji mzuri, ila kwa sytem haikupaswa mount awe katika pivot ya case na bruno. Kwa mpira wa epl unahitaji uwe na viungo bulldozer angalau wawili katika pivot. Sasa mount na bruno, hawawezi ku-offer energy na defense, inatokea wanamuachia majukumu makubwa casemiro, na tukumbuke case sasa hivi umri umekimbia sio yule wa Madrid miaka minne au tano iliopita.
ten hag, anaelewa maguire ni liability na naelewa bila ya kumuuza maguire hawezi pata beki mwingine kisiki wa kuweza kum-replace varane kwa maana varane ni injury prone lakini eti maguire anaamua haondoki, jamaa nae anaridhia na kumkaribisha tena kikosini.
Kutokana na chanagmoto za FFP, jamaa anashindwa kupush man u washushe bei ili wamuuze mctominay ili aweze kukusanya funds asajili kiungo mwingine. Sasa hivi mount ameumia na tena tunarudi kule kule na mctominay.
Forgotten natumaini uko dissapointed hata zaidi yangu
View attachment 2728181