Hivi ndivyo Erik ten Hag anakosea, siku zake zinahesabika

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Ideology na a mastered system hadi sasa havija onekana.

Chemistry ya team, utambulisho na team plan ya hadi sasa havionekani kuwa vimeshawekwa kimkakati.

Usajili wa Antony, ulikuwa ni moja ya gamble kubwa sana aliofanya ten hag, kwa maana kwa wakati ule goals + assists za jamaa hazikuwa za kushawishi, ila hadi sasa hatujui kipi cha zaidi antony anacho ki-offer. Jamaa hawezi tumia mguu wa kulia kupelekea kutoweza kutoa assist kwa striker mguu ukiwa upande wake. Ila jamaa akamwaga pesa nyingi sana. Leo tunashindwa kuelewa kipi antonya alicho nacho zaidi ya pellistri na garncho.

Mount ni mchezaji mzuri, ila kwa sytem haikupaswa mount awe katika pivot ya case na bruno. Kwa mpira wa epl unahitaji uwe na viungo bulldozer angalau wawili katika pivot. Sasa mount na bruno, hawawezi ku-offer energy na defense, inatokea wanamuachia majukumu makubwa casemiro, na tukumbuke case sasa hivi umri umekimbia sio yule wa Madrid miaka minne au tano iliopita.

ten hag, anaelewa maguire ni liability na naelewa bila ya kumuuza maguire hawezi pata beki mwingine kisiki wa kuweza kum-replace varane kwa maana varane ni injury prone lakini eti maguire anaamua haondoki, jamaa nae anaridhia na kumkaribisha tena kikosini.

Kutokana na chanagmoto za FFP, jamaa anashindwa kupush man u washushe bei ili wamuuze mctominay ili aweze kukusanya funds asajili kiungo mwingine. Sasa hivi mount ameumia na tena tunarudi kule kule na mctominay.

Forgotten natumaini uko dissapointed hata zaidi yangu

View attachment 2728181
 
Maguire kagoma kuuzwa[emoji23]

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Nadhani akikaa vibaya hawezi kumaliza msimu huu
 
Mimi siwezi kumlaum kocha,tatizo inaonekana ni mfumo wa man u wenyewe.

ten hag alitamba ulaya na soka lake safi, kabeba ubingwa ajax mara 3 mfululizo licha ya key players kuuzwa.

kwa wachezaji wa ajax unadhani yeye ndo alikuwa responsible? Nadhani hata man u shida ni structure yake ya uongozi.
 
Mnamtaka Ten au Maguire mnatuchanganya?
20230819_233201.jpg
 
Ten Hag ananunua wachezaji ambao uchezaji wao ni tofauti na na aina ya soka lake kitu ambacho kinamfelisha.

Alipokuwa Ajax nyuma yake alikuwa Overmaars anajua mpira haswa na alimsaidia kuleta wachezaji bora .

Hapa United structure inamyumbisha pia hana mtu wa kumsaidia hii sekta maana hicho kitengo wamewekwa bankers akina Arnold sasa why asiyumbe.

Sema jamaa namkubali sana ila anahitaji timu yenye muundo mzuri kuanzia juu,klabuni kwetu hapo hata Guardiola anaweza kuonekana tapeli.
 
Ideology na a mastered system hadi sasa havija onekana.

Chemistry ya team, utambulisho na team plan ya hadi sasa havionekani kuwa vimeshawekwa kimkakati.

Usajili wa Antony, ulikuwa ni moja ya gamble kubwa sana aliofanya ten hag, kwa maana kwa wakati ule goals + assists za jamaa hazikuwa za kushawishi, ila hadi sasa hatujui kipi cha zaidi antony anacho ki-offer. Jamaa hawezi tumia mguu wa kulia kupelekea kutoweza kutoa assist kwa striker mguu ukiwa upande wake. Ila jamaa akamwaga pesa nyingi sana. Leo tunashindwa kuelewa kipi antonya alicho nacho zaidi ya pellistri na garncho.

Mount ni mchezaji mzuri, ila kwa sytem haikupaswa mount awe katika pivot ya case na bruno. Kwa mpira wa epl unahitaji uwe na viungo bulldozer angalau wawili katika pivot. Sasa mount na bruno, hawawezi ku-offer energy na defense, inatokea wanamuachia majukumu makubwa casemiro, na tukumbuke case sasa hivi umri umekimbia sio yule wa Madrid miaka minne au tano iliopita.

ten hag, anaelewa maguire ni liability na naelewa bila ya kumuuza maguire hawezi pata beki mwingine kisiki wa kuweza kum-replace varane kwa maana varane ni injury prone lakini eti maguire anaamua haondoki, jamaa nae anaridhia na kumkaribisha tena kikosini.

Kutokana na chanagmoto za FFP, jamaa anashindwa kupush man u washushe bei ili wamuuze mctominay ili aweze kukusanya funds asajili kiungo mwingine. Sasa hivi mount ameumia na tena tunarudi kule kule na mctominay.

Forgotten natumaini uko dissapointed hata zaidi yangu

View attachment 2728181
Yiu don't know what you are talking about.
 
Mimi siwezi kumlaum kocha,tatizo inaonekana ni mfumo wa man u wenyewe.

ten hag alitamba ulaya na soka lake safi, kabeba ubingwa ajax mara 3 mfululizo licha ya key players kuuzwa.

kwa wachezaji wa ajax unadhani yeye ndo alikuwa responsible? Nadhani hata man u shida ni structure yake ya uongozi.

Ubingwa ligi ya uholanzi sio kigezo cha kumudu EPL ama Uefa champions league

Ligi ya uholanzi ni farmers league
 
Ideology na a mastered system hadi sasa havija onekana.

Chemistry ya team, utambulisho na team plan ya hadi sasa havionekani kuwa vimeshawekwa kimkakati.

Usajili wa Antony, ulikuwa ni moja ya gamble kubwa sana aliofanya ten hag, kwa maana kwa wakati ule goals + assists za jamaa hazikuwa za kushawishi, ila hadi sasa hatujui kipi cha zaidi antony anacho ki-offer. Jamaa hawezi tumia mguu wa kulia kupelekea kutoweza kutoa assist kwa striker mguu ukiwa upande wake. Ila jamaa akamwaga pesa nyingi sana. Leo tunashindwa kuelewa kipi antonya alicho nacho zaidi ya pellistri na garncho.

Mount ni mchezaji mzuri, ila kwa sytem haikupaswa mount awe katika pivot ya case na bruno. Kwa mpira wa epl unahitaji uwe na viungo bulldozer angalau wawili katika pivot. Sasa mount na bruno, hawawezi ku-offer energy na defense, inatokea wanamuachia majukumu makubwa casemiro, na tukumbuke case sasa hivi umri umekimbia sio yule wa Madrid miaka minne au tano iliopita.

ten hag, anaelewa maguire ni liability na naelewa bila ya kumuuza maguire hawezi pata beki mwingine kisiki wa kuweza kum-replace varane kwa maana varane ni injury prone lakini eti maguire anaamua haondoki, jamaa nae anaridhia na kumkaribisha tena kikosini.

Kutokana na chanagmoto za FFP, jamaa anashindwa kupush man u washushe bei ili wamuuze mctominay ili aweze kukusanya funds asajili kiungo mwingine. Sasa hivi mount ameumia na tena tunarudi kule kule na mctominay.

Forgotten natumaini uko dissapointed hata zaidi yangu

View attachment 2728181
Bado mapema mkuu. Kumbuka wolves na spurz miaka yote tukikutana huwa wanatusumbua. Timu ya kupambania top 4 tunayo ila ubingwa hapana. Combination ya hojlund na rashford ikikubali itatubeba sana. Yule antony tumepigwa
 
Haha yani antony ni bora tuwe tunachezesha pellistri na garnacho
 
Ideology na a mastered system hadi sasa havija onekana.

Chemistry ya team, utambulisho na team plan ya hadi sasa havionekani kuwa vimeshawekwa kimkakati.

Usajili wa Antony, ulikuwa ni moja ya gamble kubwa sana aliofanya ten hag, kwa maana kwa wakati ule goals + assists za jamaa hazikuwa za kushawishi, ila hadi sasa hatujui kipi cha zaidi antony anacho ki-offer. Jamaa hawezi tumia mguu wa kulia kupelekea kutoweza kutoa assist kwa striker mguu ukiwa upande wake. Ila jamaa akamwaga pesa nyingi sana. Leo tunashindwa kuelewa kipi antonya alicho nacho zaidi ya pellistri na garncho.

Mount ni mchezaji mzuri, ila kwa sytem haikupaswa mount awe katika pivot ya case na bruno. Kwa mpira wa epl unahitaji uwe na viungo bulldozer angalau wawili katika pivot. Sasa mount na bruno, hawawezi ku-offer energy na defense, inatokea wanamuachia majukumu makubwa casemiro, na tukumbuke case sasa hivi umri umekimbia sio yule wa Madrid miaka minne au tano iliopita.

ten hag, anaelewa maguire ni liability na naelewa bila ya kumuuza maguire hawezi pata beki mwingine kisiki wa kuweza kum-replace varane kwa maana varane ni injury prone lakini eti maguire anaamua haondoki, jamaa nae anaridhia na kumkaribisha tena kikosini.

Kutokana na chanagmoto za FFP, jamaa anashindwa kupush man u washushe bei ili wamuuze mctominay ili aweze kukusanya funds asajili kiungo mwingine. Sasa hivi mount ameumia na tena tunarudi kule kule na mctominay.

Forgotten natumaini uko dissapointed hata zaidi yangu

View attachment 2728181
Baada ya kumuachia Fred nikajua hapa Man U kwisha habari yao. Mwaka huu akijitahidi sana ni nafasi ya 10. Otherwise, nafasi ya 14.
 
Kwa kitendo alichomfanyia de gea na Ronaldo yule jamaa hana mda pale wachezaji itakuwa wanamuweka kitimoto maksudi ili wamchomeshe huwezi kuwafanyia ma legend wa team vile.
 
Back
Top Bottom