Hahaha cheka kwa sauti. Mnavituko sana humu.Hiki ni chumba au mfanyakazi wa benki?
Faster nenda kwa Mangi uagizie chochote ntapita baadaye kulipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha cheka kwa sauti. Mnavituko sana humu.Hiki ni chumba au mfanyakazi wa benki?
Bongo zipo?Nashangaa hivi kwanini nchi kubwa kama Lebanon haina ata Air Defense Systems!? Wao kila mtwango unaingia tu dah!
Huwa napenda kuelimishwa, kama huyo ndugu hajui chochote, wewe unayejua tuingize darasani kuhusu Hezbollah na Lebanon. Ukiishia kusema hajui na wewe unayejua husemi unachokijua, tutaamini angalau aliyesema chochoteHapa ndo wabongo mnajidanganya hata hujui chochote cha maana kuhusu Lebanon na influence ya Hezbollah kwa Lebanon
Ismail haniye ndo alipasuliwa fuvuUngekuwa unaweka weka na vipicha kwenye huu ungependeza zaidi,
Napenda ile picha ya nassar kapasuliwa fuvu
Hao Hezbollah ni wanaharakati. Hawaogopi kufa vitani. Wanajua ipo siku watakufa. Kwahiyo hawataacha hizi resistance.. ila kiukweli Israel haitaishi Kwa amani maisha Yao yote. Mabom, makombora yataendelea kuwa sehemu ya life yaoKilichowauma Iran sio Kifo cha NASRA ila Kifo cha kamanda wao mwandamizi nirifourshan aliechomwa kama mshikaki kule ardhini... Hedhibollah wamepiga hatua sita kurudia nyuma.......Watu WA Lebanon wenye akili hawatapenda kuuona uwepo wa Hao panzi tena maana akili Yao haina tofauti na akili ya panya...
Haina shida, ila Israel ataishi kwa kujilinda kuliko kujisalimisha yeye na ardhi ya mababu zakeHao Hezbollah ni wanaharakati. Hawaogopi kufa vitani. Wanajua ipo siku watakufa. Kwahiyo hawataacha hizi resistance.. ila kiukweli Israel haitaishi Kwa amani maisha Yao yote. Mabom, makombora yataendelea kuwa sehemu ya life yao
Hao Hezbollah ni wanaharakati. Hawaogopi kufa vitani. Wanajua ipo siku watakufa. Kwahiyo hawataacha hizi resistance.. ila kiukweli Israel haitaishi Kwa amani maisha Yao yote. Mabom, makombora yataendelea kuwa sehemu ya lifeKilichowauma Iran sio Kifo cha NASRA ila Kifo cha kamanda wao mwandamizi nirifourshan aliechomwa kama mshikaki kule ardhini... Hedhibollah wamepiga hatua sita kurudia nyuma.......Watu WA Lebanon wenye akili hawatapenda kuuona uwepo wa Hao panzi tena maana akili Yao haina tofauti na akili ya panya...
OkHaina shida, ila Israel ataishi kwa kujilinda kuliko kujisalimisha yeye na ardhi ya mababu zake
Ni sinwarIsmail haniye ndo alipasuliwa fuvu
Naaam yahaya sinwarNi sinwar