Hivi ndivyo Israel walivyomuua Hassan Nasrallah, simba aliyeisuka Hezbollah kwa miaka 30

Hapa ndo wabongo mnajidanganya hata hujui chochote cha maana kuhusu Lebanon na influence ya Hezbollah kwa Lebanon
Huwa napenda kuelimishwa, kama huyo ndugu hajui chochote, wewe unayejua tuingize darasani kuhusu Hezbollah na Lebanon. Ukiishia kusema hajui na wewe unayejua husemi unachokijua, tutaamini angalau aliyesema chochote
 
Hao Hezbollah ni wanaharakati. Hawaogopi kufa vitani. Wanajua ipo siku watakufa. Kwahiyo hawataacha hizi resistance.. ila kiukweli Israel haitaishi Kwa amani maisha Yao yote. Mabom, makombora yataendelea kuwa sehemu ya life yao
 
Haina shida, ila Israel ataishi kwa kujilinda kuliko kujisalimisha yeye na ardhi ya mababu zake
 
Hao Hezbollah ni wanaharakati. Hawaogopi kufa vitani. Wanajua ipo siku watakufa. Kwahiyo hawataacha hizi resistance.. ila kiukweli Israel haitaishi Kwa amani maisha Yao yote. Mabom, makombora yataendelea kuwa sehemu ya life
Haina shida, ila Israel ataishi kwa kujilinda kuliko kujisalimisha yeye na ardhi ya mababu zake
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…