Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

Hizi post za kufa kufa zinakuwa zimevuviwa roho za mauti, ukisoma na kuanza kutafakari hayo ndo na pepo la mauti litakuvamia na kuanza kujiona unakufa, kama umesoma post hiyo sema Nakata roho ya mauti katika jina la Yesu aliye hai , shetani shindwa na uklegeye.
 
Kwa experience yangu ukikaribia mauti huwa kama unaota ndoto za ukiwa mazingira mazuri sana yenye sura ya rangi tofauti na hii ila ni very very favourable kwa mapumziko, ingawa kwenye hizo barabara safi zenye maua maua utajikuta uko peke yako, ajabu ni kwamba hali hiyo utaiona ungali hujafunga macho, na ile consciousness ikikurudia ghafla utajishangaa mwenyewe iweje unapata mapicha mapicha ya ndoto ungali uko macho?
Waliowahi ugua near death, hii hali huwa iko very common.
 
Mkuu umeshawahi kufa?
 

How did you know ?
 
Ulishawahi kufa?

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Na wale wanaopasuka pasuka hapo hapo wao inakuwaje
 
kuna hormone itaachiliwa kwa wingi kwenye ubongo wako itakayokufanya upate furaha ya ajabu(euphoria)

ndo maana watu waliopitia near death experiences wanasimulia kuona mwanga flani, au kuingia kwenye uwepo fulani
Hiyo hormone hustarehesha ad mtu anapata ashiki ya kumwaga manii.
Na kwa mwanamke ni orgasim ya kutisha!
 
Uongo....Umepigwa na Bomu utapata wapi usingizi
 
Nikajua umeandika kisayansi kumbe umeandika kwa mamitazamo na mahisia ya kilokole tu.
 
Aaah wapi hapo umeshaumwa weeee unatamani ufe tu umpumzike unarelax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…