Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

Nilishakuwa katika comma, what happen is so so badly ever, unakuwa katika situation ya kutisha sana, kwenye macho unaona blueish, kibaya kwenye masikio unasikia kila kitu kinachoongelewa, unasikia vilio na kelele, lakini huwezi kufanya lolote, unawasikia ndugu zako na jamaa zako lakini huwezi kusogeza kiungo chochote, kibaya uwezo wa kusikia huendelea kupungua kidogo kidogo, so worryful let me endup here!
Elezes full ulichoexperience
 
Hapo utawakumbuka wanautamaushi na dhana ya maisha hayana maana yoyote.
 
Hii inawahusu Hadi bodaboda?
Kuna ambao walijaa kwenye gari walikuwa mshikaki na wapo tungi mmoja akawa anawaita wenzake anawaambia machalii ndio tunadanja hivyo, mwenzake akamjibu hatufi kamanda.

Hapo ukiwaangalia huyu mguu hana, yule kazungushwa kiuno mwenzao kashakata moto pale pale. Wale jamaa hawakuchukua hata dakika 10 parapanda zikaimba. Kimasihara kabisa.
 
Nilishakuwa katika comma, what happen is so so badly ever, unakuwa katika situation ya kutisha sana, kwenye macho unaona blueish, kibaya kwenye masikio unasikia kila kitu kinachoongelewa, unasikia vilio na kelele, lakini huwezi kufanya lolote, unawasikia ndugu zako na jamaa zako lakini huwezi kusogeza kiungo chochote, kibaya uwezo wa kusikia huendelea kupungua kidogo kidogo, so worryful let me endup here!
Mkuu, if you don't mind lete story kamili. Hii itatusaidia kujua kama kifo kinakuja au tusubiri kidogo.
 
Kinachosababisha kusikia yote ni kwa sababu ubongo hufanya kazi kwa damu kidogo mno, hivyo sehemu zote huweza kusimama kufanya kazi lakini ubongo huweza kuwa hai mpaka lisaa limoja baada ya viungo vyote kusimama kufanya kazi, hivyo kusababisha kuweza kusikia kila jambo, wale wanaozika papo kwa hapo, I can't imagine kwa marehemu.
 
Kinachoumiza ni iuwa kumbe mtu anakuwa anasikia lakini uwezo wa kujibu au hata kunyanyua mkono hana.
Dah!!!!
 
  • Nguvu za mwili zitaanza kukuishia,
  • Utasikia kama usingizi mzito unakuja,
  • Mapigo ya moyo yatapungua kasi,
  • Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia.
  • Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto wako mpaka hapo ulipo.
  • Utawaza mambo mabaya na mema uliyoyafanya/yaliyokutokea.
  • Utawaza vitu ambavyo ulipaswa/hukupaswa kufanya (mf. kama kutohudhuria mazishi ya mama ako, au kutomhudumia mzazi ipasavyo)
  • Utawaza mipango Yako yote uliyokuwa nayo ya future
  • Utawaza ukiondoka utaacha kumbukumbu gani? Na je ni % ngapi ya potential/uwezo wako umeitumia duniani?
  • Utawaza je vile vitu ulivyoviona vya thamani duniani (mf. pombe, wanawake, Simba na yanga)vina thamani kama ulivyovipa?
  • Utawaza na vile vitu ulivyovidharau na kuona havina thamani kama ulivyodhania (mf. mahusiano na ndugu/jamaa, dini, kufurahia maisha nk.)
  • Utawaza sana yote haya na utakosa jibu, kisha utaona kuwa vyote vizuri na vibaya ni ubatili mtupu na havina maana yeyote.

- Utapata hisia ya kukata tamaa ya kupata majibu kuhusu haya kipindi mwili wako unazidi kuishiwa nguvu,Mapigo ya moyo yanazidi kupunguza,pumzi inakuwa ya tabu na hali ya usingizi inaongezeka.

Hapo ndipo utakata tamaa na kukubali matokeo, kisha utakubali kuachia pumzi Yako ya mwisho na ndipo utakufa.

(Hizi process zinaweza kuchukua anywhere from masaa machache hadi sekunde kadhaa kulingana na aina ya kifo utakachokufa)
Vp kwa wale wanaokufa kwa mlipuko wa bomu nao wanawaza yote hayo?
 
Ulishawahi kufa mkuu?
 
Back
Top Bottom