Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

hapa labda wanaumwa, lakini umepata ajali kichwa kimekatika hiyo process haina nafasi unajikuta ghafla tu uko peponi bila hodi utafikiri unaenda kufumania
daaah! Aiseee
 
Elezes full ulichoexperience
 
Hapo utawakumbuka wanautamaushi na dhana ya maisha hayana maana yoyote.
 
Hii inawahusu Hadi bodaboda?
Kuna ambao walijaa kwenye gari walikuwa mshikaki na wapo tungi mmoja akawa anawaita wenzake anawaambia machalii ndio tunadanja hivyo, mwenzake akamjibu hatufi kamanda.

Hapo ukiwaangalia huyu mguu hana, yule kazungushwa kiuno mwenzao kashakata moto pale pale. Wale jamaa hawakuchukua hata dakika 10 parapanda zikaimba. Kimasihara kabisa.
 
Mkuu, if you don't mind lete story kamili. Hii itatusaidia kujua kama kifo kinakuja au tusubiri kidogo.
 
Mkuu, if you don't mind lete story kamili. Hii itatusaidia kujua kama kifo kinakuja au tusubiri kidogo.
Kinachosababisha kusikia yote ni kwa sababu ubongo hufanya kazi kwa damu kidogo mno, hivyo sehemu zote huweza kusimama kufanya kazi lakini ubongo huweza kuwa hai mpaka lisaa limoja baada ya viungo vyote kusimama kufanya kazi, hivyo kusababisha kuweza kusikia kila jambo, wale wanaozika papo kwa hapo, I can't imagine kwa marehemu.
 
Kinachoumiza ni iuwa kumbe mtu anakuwa anasikia lakini uwezo wa kujibu au hata kunyanyua mkono hana.
Dah!!!!
 
Ni umbea kama umbea mwingine........
 
Vp kwa wale wanaokufa kwa mlipuko wa bomu nao wanawaza yote hayo?
 
Ulishawahi kufa mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…