Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

Kumbe hili la kuchangia chama lipo kikatiba, sasa mbona Lijualikali analia bungeni
Alichotaka kuonesha kuwa Mh. spika yuko sahihi alipokuwa anamshambulia Mbowe kuwa anawanyanyasa wabunge, anawakata mishahara kimabavu...!

Kumbe Lijuha halijui katiba ya chama chake au ameamua tu kujifanya juha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…