domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,588
- 1,760
Wape na kile kifungu kingine cha katiba kuonesha hiyo michango inatumikaje wakuelewe. Wasiwe wanabishia katiba na demokrasia.
Mimi mpaka sasa sijaelewa huyu Lijualikali alikuwa anachangia nini hadi kupewa nafasi ya kutoa hotuba yake hiyo ambayo mh. Spika amesema ni hotuba nzito, sijui ina kg ngapi!!Ni mwendawazimu pekee atakaeamini maneno ya hao dhaifu wanaokimbia CDM sasa hivi huku wakilia machozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo haindoi ukweli kwamba huko Chadema kuna madudu.Baada ya muda mfupi nitaweka hapa hela alizolipwa Lijuakali pamoja na A/C namba iliyotumika , nasubiri ushauri wa mwanasheria wangu
Tatizo sio lipo kikatiba au la, alichosema Lijuakali hazijulikani zilipo Wala zilipokwenda na ukihoji unapewa red card kifupi zimetafunwa [emoji23][emoji1787][emoji2960]Kumbe hili la kuchangia chama lipo kikatiba, sasa mbona Lijualikali analia bungeni
Wanajaribu kufukia kashfa ya bilioni 8 ya mboweNaona mnaamza kuwekana bize wenyewe. Safi sana!
Usikurupuke kasema hela zilichangwa bilioni 8 zimetafunwaHuyu kijana kumbe mpumbavu wakati anagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA hakusoma katiba? Sasa analia lia nini?
Hakuna ushahidi hapo alichosema Lijuakali kuwa pesa zilizochangwa bilioni 8 mbowe katafuna Sasa unatakiwa uweke ushahidi kuwa hazijatafunwaShukrani kwa ushahidi mwanana
Ungeweka Kwanza A/C ya hiyo michango aliyosema Lijuakali au uweke ushahidi zilipokwenda Kama alivyodai LijuakaliBaada ya muda mfupi nitaweka hapa hela alizolipwa Lijuakali pamoja na A/C namba iliyotumika , nasubiri ushauri wa mwanasheria wangu
Tutolee Unyumbu wako hapa , wabunge wanataka wajue matumizi ya zaidi ya billion 8 walizokatwa.
Zimejenga chama wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Msifunike kombe mwanaharamu apite kanusheni kwa kuweka ushahidi wa hizo pesa zilipokwendaHuyo kafika bei kuelekea uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu.
Wananchi wameanza kuwashtukia Chadema.Baada ya muda mfupi nitaweka hapa hela alizolipwa Lijuakali pamoja na A/C namba iliyotumika , nasubiri ushauri wa mwanasheria wangu
Katiba ya Chadema ipo wazi kabisa , haya aliyoyasema Lijuakali CAG hakuyaona ?Wananchi wameanza kuwashtukia Chadema. Nimepita magroup ya watsup, watu wengi wameguswa maneno ya Lijuakali. Hata wale walikuwa wanaitetea Chadema, wamemind. Chadema mmebeba dhamana ya watanzania wengi walioshwa na CCM, lakin kama mkiendelea hivi, walah mtaiona hasira ya wananchi. Na hiyo tabia ya kusema kila mtu kanunuliwa,imeanza kuchuja. Chunguzen dhamiri zenu,muone
wapi mnakosea, yarekebisheni mrudishe Imani kwa watanzania wanyonge waliokuwa wameanza kuwaona kama wakombozi waao.
Mkishupaza shingo mtakuwa sikio la kufa.
Jamaa ako na utoto mingi Sana... Yaani unakuwa mbunge na hujui katiba ya chama chako[emoji15][emoji15].. he's nonsense
CAG ametoa hati safi kwa Chadema , wewe masikini unahoji nini ?Msifunike kombe mwanaharamu apite kanusheni kwa kuweka ushahidi wa hizo pesa zilipokwenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo sio uteteziCAG ametoa hati safi kwa Chadema , wewe masikini unahoji nini ?
Kwani Ruzuku na michango ya kadi za wanachama mil 6 hazitoshi kuendesha chama? Mnawapa stress Wabunge wenu kwa michango isiyo na msingi. Mizinga wanayopigwa majimboni inawatosha aisee.
Kusema CAG hakuyaona au la sidhan kama Ni sahihi. Kosa moja haliwezi kuhalalisha kosa. CAG anafanya kazi kwenye mfumo corrupt ulioasisiwa na CCM. Chadema, Kama chama mbadala kilipaswa kuja na mfumo mbadala unaoadress pamoja na mengine, baadhi ya hujuma zinazofanywa katika baadhi ya vyama vya siasa.Katiba ya Chadema ipo wazi kabisa , haya aliyoyasema lijuakali CAG hakuyaona ?