Mbowe alifanya kosa kubwa sana sana kurudi kwenye uenyekiti .
Amefuta historia yake yote ya kukijenga chana akiwa na Dr. Slaa.
Namshauri Juma Mwalimu ajiuzulu Nafasi yake mana Chama kinaangamizwa na Mbowe kwa kuensekeza ukabila na ubinafsi na roho mbaya na kiburi na Jeuri huku akikosa maono kutokana na kupuuza ushauri na maoni ya watu huku akibeza juhudi za watu wa makabila mengine kukijenga Chama.
Tundu Lisu pia namshauri aachane na hicho Chama cha Mbowe na ukoo wake mana hata wachaga wamemwona Mbowe ni mtu wa Hovyo kabisa.
Tundu asipoteze muda wake kugombana na vyama vingine na kukifia Chama cha MTU mbinafsi asiye na maono .
Chadema kimekubali kuongozwa na akili ndogo ,jeuri,kiburi na roho mbaya. Ujinga wa Mbowe umekifanya Chama hicho kupotea kabisa kwenye medani za kisiasa.
Baada ya uchaguzi Mbowe hatapata hata kijiwe cha kufanya siasa.
Miaka 27 Chama hata ofisi hakina. Na sasa kinakufa bila kuacha hata jengo la ofisi ya makao makuu.
Halafu Kuna wajinga wanshabikia Mbowe badala ya kumwachia Chama chake.
Lazaro Nyarandu usikubali kupotea kwenye siasa za Nchi yako kwa Sababu ya kumtafutia Mbowe Sehemu ya kujikopesha bila riba na kukopesha Chama kwa riba kubwa.
Mbowe amehujumu Juhudi na harakati za ujenzi wa Demokrasia kwenye Taifa hili.
Damu za watoto wa kitanzania zilizomwagika kwa ajili ya kujenga Demokrasia kwenye Taifa hili zitakuwa juu ya Kichwa cha Mbowe kwa sababu ya ubinafsi ,ukabila ,kiburi ,jeuri,dharau na roho mbaya ya Mbowe.
Mchungaji wangu Msigwa usokubali kupoteza nafasi ya kuwatumikia Watanzania kwa sababu ya mtu mwenye akili ndogo aliyejaliwa kiburi na jeuri na ukabila ,Mbowe.
Msigwa namuomba kwa heshima kubwa kama Mchungaji wangu achana na siasa za Mbowe na upinzani wa hovyo aliaouasisi Mbowe huku akiua Demokrasia katika nchi hiii kwa kuzima ndoto za wapigania Demokrasia wa kweli.
Mtanzania yeyote ambaye sio wa ukoo mwenyeki Mbowe na anategemea kutimiza ndoto zake ndani ya Chadema chini ya Mwenyekiti wa ajabu kabisa Mbowe basi ajue kabisa anajipoteza mwe nyewe mwenye siasa za Tanzania na Dunia nzima .
Chama komerudi nyuma miaka 27 kwa sababu ya ujinga wa MTU mmoja kujiona ndiye anayekijenga Chama na wengine wote wakae kimya mana hawana uchungu na Chama.
Kufikia Mwezi Octoba Chadema itakua imepukutika kabisa na Mbowe atavuna jeuri aliyoipanda ya kuwadharau na kuwaona watu wa makabila mengine kuwa ni wasaliti wasioweza kuongoza na kujenga hicho Chama. Abaki peke yake ili tuone atakiongoza vipi yeye peke yake.
Na pia baada ya uchaguzi naiomba seriali itunge sheria ya kufuta Ruzuku ili kuokoa hela zawalipa kodi.
Sent using
Jamii Forums mobile app