Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

Nahisi CAG anakagua matumizi ya Ruzuku na si michango ya Wabunge au vipi
Kwani hao wabunge ndiyo wanachama zaidi hadi wao waseme wanataka kujuwa wakiwa bungeni Kwani matumizi ya CHADEMA si yanakaguliwa na CAG na anatoa taarifa inayosomwa kwenye vikao vya chama. Huyo Lijuakali sikuwa najuwa kama mbunge mjinga kiasi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ngoja tukokotoe maana namba huwa hazidanganyi:
1. Posho za wabunge wa majimbo na wale wa viti maalum zinalingana ie posho za vikao (sitting allowance, perdiem nk) kwa mwezi.
2. Let x = posho za kibunge per month
Hivyo kwa mbunge wa jimbo ambaye hukatwa Shs 500,000/ per month kama 10% ya posho hiyo kwa mjibu wa katiba:
Therefore 10%x = 500,000
10x /100 = 500,000/
By cross multiplication we get
x = 5 million.
Yaani posho ya kibunge kwa kila mbunge wa jimbo ni Sh 5 milioni kwa mwezi.

Kwa mbunge wa viti maalum yeye hukatwa Sh 1.5 million kwa mwezi.
Maana yake kwa mjibu wa katiba ya chama:
30%x = 1,500,000
30x/100 = 1,500,000
Hence by cross multiplication
x = 5 million.

Hadi hapo tuko pamoja.
Tatizo ni jee hizi posho ni kweli ziko constant kwa kila mbunge kwa kila mwezi, kwamba ni 5 million? Kuna miezi mingi tu kwa mwaka huwa hakuna vikao vya bunge na hivyo hakuna perdiem wala sitting allowance. Kilicho constant kwa kila mbunge kwa kila mwezi ni mshahara wake. Hivyo pesa wanazokatwa ni za mishahara yao, kitu ambacho hakiko kwenye katiba yao.
 
Haya ngoja tukokotoe maana namba huwa hazidanganyi:
1. Posho za wabunge wa majimbo na wale wa viti maalum zinalingana ie posho za vikao (sitting allowance, perdiem nk) kwa mwezi.
2. Let x = posho za kibunge per month
Hivyo kwa mbunge wa jimbo ambaye hukatwa Shs 500,000/ per month kama 10% ya posho hiyo kwa mjibu wa katiba:
Therefore 10%x = 500,000
10x /100 = 50,000,000
By cross multiplication we get
x = 5 million.
Yaani posho ya kibunge kwa mbunge wa jimbo ni Sh 5 milioni kwa mwezi.

Kwa mbunge wa viti maalum yeye hukatwa Sh 1.5 million kwa mwezi.
Maana yake kwa mjibu wa katiba ya chama:
30%x = 1,500,000
30x/100 = 1,500,000
Hence by cross multiplication
x = 5 million.

Hadi hapo tuko pamoja.
Tatizo ni jee hizi posho ni kweli ziko constant kwa kila mbunge kwa kila mwezi, kwamba ni 5 million? Kuna miezi mingi tu kwa mwaka huwa hakuna vikao vya bunge na hivyo hakuna perdiem wala sitting allowance. Kilicho constant kwa kila mbunge kwa kila mwezi ni mshahara wake. Hivyo pesa wanazokatwa ni za mishahara yao, kitu ambacho hakiko kwenye katiba.
Unahangaika na vilaza mkuu, kwao huo wanaona ni utetezi wakati ni uvunjifu mwingine wa katiba yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Ruzuku na michango ya kadi za wanachama mil 6 hazitoshi kuendesha chama? Mnawapa stress Wabunge wenu kwa michango isiyo na msingi. Mizinga wanayopigwa majimboni inawatosha aisee.
Sasa huo mjadala mwingine hapa issue ni kuwa analilia nini bungeni na katiba ipo wazi?

Kujipendekeza bana kunataka uso wa Mbuzi kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha...kweli CHADEMA kumejaa vichwa maji, MSHAHARA ni posho? posho za Mbunge ziko fixed? sote tunafahamu kwamba posho haziko fixed, basi inakuaje makato yawe fixed yaani 500,000/= na 1,500,000/= kwa mwezi?

Umeleta bandiko hili kuendelea kutudhihirishia wananchi kwamba CHADEMA wanavunja katiba yao wenyewe hivyo ya nchi hawawezi kuilinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaakili sana mkuu, wamekuja na utetezi unaozidi kuwavua nguo, hapo hutawaona na anatamani aifute thread yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha...kweli CHADEMA kumejaa vichwa maji, MSHAHARA ni posho? posho za Mbunge ziko fixed? sote tunafahamu kwamba posho haziko fixed, basi inakuaje makato yawe fixed yaani 500,000/= na 1,500,000/= kwa mwezi?

Umeleta bandiko hili kuendelea kutudhihirishia wananchi kwamba CHADEMA wanavunja katiba yao wenyewe hivyo ya nchi hawawezi kuilinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha sana mkuu, hapo hawachomoki.

Ongeza volume kada, kweli hawa jamaa viazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha...kweli CHADEMA kumejaa vichwa maji, MSHAHARA ni posho? posho za Mbunge ziko fixed? sote tunafahamu kwamba posho haziko fixed, basi inakuaje makato yawe fixed yaani 500,000/= na 1,500,000/= kwa mwezi?

Umeleta bandiko hili kuendelea kutudhihirishia wananchi kwamba CHADEMA wanavunja katiba yao wenyewe hivyo ya nchi hawawezi kuilinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hutawaona mkuu, hatari sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msijitoe ufahamu! Lijua Likali amehoji matumizi ya fedha hizo zilizodaiwa kuwa kwenye fixed account pamoja na matumizi ya Ruzuku aidha Kuna hoja ya mtuhumiwa kuitwa na kuhojiwa na kujieleza kwa maandishi ndani ya Siku 14 kabla ya kupewa adhabu hiyo hamjaiona siyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtazamo wangu Lijualikali kazungumza hoja za kitoto sana, kama Ni vyama kwenye issue za matumizi hakuna chama kilichosalama, huko ccm anakolilia kwenda matumizi ya hovyo ndo yametamalaki, kiufupi Lijualikali ametafuta kasababu kakutokea.Wananchi Wa kilombero wengi hivi sasa walishakosa imani Na mbunge wao, ilisadikika ccm walishafika naye bei kitambo, Na alihaidiwa kupewa vyeo kadhaa kati ya hivi, ukuu Wa mkoa, wilaya au URAS.Ni swala LA muda tu tutaona ukweli
Kajinga sana haka kajamaa
 
Back
Top Bottom