Hivi ndivyo Magharibi itavyopotea. Sio pigo la risasi wala nyuklia, bali ni hivi vifuatavyo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Feminism:
Screenshot_20241003-112110.png

Uzaaji wa watoto wachache:
Screenshot_20241003-111537.png

Sera ya uhamiaji holela:
20241003_111407.jpg

Kuruhusu, kupokea na kuzifanyia kazi ideologies za jamii nyingine angali jamii hizo zinapinga ideologies za west:
Screenshot_20241003-111930.png

Ideology ya Mrengo wa Kushoto:

Screenshot_20241003-113122.png
 
Feminism:
View attachment 3113984

Uzaaji wa watoto wachache:
View attachment 3113980

Sera ya uhamiaji holela:
View attachment 3113979

Kuruhusu, kupokea na kuzifanyia kazi ideologies za jamii nyingine angali jamii hizo zinapinga ideologies za west:
View attachment 3113982

Ideology ya Mrengo wa Kushoto:

View attachment 3113989
Jadili ajenda za nchi yako acha nchi zawenzako, 90% ya waTz ni masikin live below poverty line 60% hawana maji safi na salama 70% elimu duni 50% hawawezi kujitibu kwa pesa zao.....wewe unapoteza mda kujadili nchi zolizo piga hatua, ni upumbavu.
 
Ubumunda wako ni wako

Jamii forums ni dunia

Hakuna mahali imeandikwa tuongee mambo ya uswahili tu

Hata wewe mwenyewe ukiwa unagongana na demu wako hautapiga style moja tuuuuuu, utaonekana boya

Matter of fact, mambo ya nje nchi huwa pia yana affect mambo ya Tz.
 
Jadili ajenda za nchi yako acha nchi zawenzako, 90% ya waTz ni masikin live below poverty line 60% hawana maji safi na salama 70% elimu duni 50% hawawezi kujitibu kwa pesa zao.....wewe unapoteza mda kujadili nchi zolizo piga hatua, ni upumbavu.
Maybe humjui mtoa mada, amekamilisha Quota yake ya kusema watu wa mrengo fulani.
 
aisee kwelii ukiona mambo ya didy na dangote dah naomba serikal ituongezee ulinzi wanaume tupewe ulinz Kila mmoja Ili mik*ndu yetu ibaki kuwa salama
Mlinzi pekee wa mkundu wako ni wewe mwenyewe na nafsi yako.

Serikali haihusiki na makalio yako mpaka pale ukikamatwa unafokonyolewa.

Ukitaka mteremko kina Diddy watapita tu na nnya yako.
 
Hahahahaha siku unakuta vijana wa miaka 20 bila ya kzi maalum ana i phone kumbe anchezea mafuta ya diddy
 
Feminism:
View attachment 3113984

Uzaaji wa watoto wachache:
View attachment 3113980

Sera ya uhamiaji holela:
View attachment 3113979

Kuruhusu, kupokea na kuzifanyia kazi ideologies za jamii nyingine angali jamii hizo zinapinga ideologies za west:
View attachment 3113982

Ideology ya Mrengo wa Kushoto:

View attachment 3113989
Kinachoua Ulaya ni Usa na China, Sasa hivi Ulaya kila Anachotengeneza China anakitengeneza kwa bei rahisi zaidi. Na makampuni yao yananunuliwa na Usa kila siku na kuwa treated vibaya.

Hata hao wahamiaji nani kawaleta Ulaya? Ni sera za Usa na mashosti zake, Wanapodistabilize dunia na wao wanaenda huko.

Kuna Nchi kibao hapo Ulaya Bila wahamiaji nazo hazitoboi miaka 50 bila kuporomoka.

Leo hii wahamiaji wote wakisema wanaondoka Ulaya kwa mpigo ndio kwisha habari yao. So kuwananga wahamiaji ni ku promote tu idea za Far right wa Ulaya hali ya kuwa unajua fika wao ndio wanaifanya Ulaya angau i function vizuri.
 
Jadili ajenda za nchi yako acha nchi zawenzako, 90% ya waTz ni masikin live below poverty line 60% hawana maji safi na salama 70% elimu duni 50% hawawezi kujitibu kwa pesa zao.....wewe unapoteza mda kujadili nchi zolizo piga hatua, ni upumbavu.
Tunazijadili wapi huko? ambako watazifanyizia kazi, (watazifanyia kazi),
 
Idiolojia ya mrengo wa kulia ndio itaharibu West
 
Mlinzi pekee wa mkundu wako ni wewe mwenyewe na nafsi yako.

Serikali haihusiki na makalio yako mpaka pale ukikamatwa unafokonyolewa.

Ukitaka mteremko kina Diddy watapita tu na nnya yako.
Sahihi, mtu anataka kuliwa mwenyewe halafu anataka serikali imsaidie kutokuliwa.
 
Far rights ndio waharibifu wakubwa wa Magharibi kwa sababu hawakubali mabadiliko na bado wanaishi kwenye superstition zaidi.

Uzaaji wa watoto wachache sio tatizo kwa nchi yoyote dunia mpaka sasa, hiyo ni ajinda ya matajiri kama Elon Musk kupata vibarua wa bei rahisi. Dunia ina watu bilioni 8, hawa ni wengi sana
 
Fanya tafiti

Labda tu wewe ni mpenzi wa progressive na woke scum
 
Progressivenes ndio imetupa ulimwengu tulio nao leo. Vinginevyo watu aina ya kina Galileo na Giordano Bruno wangeendelewa kuchomwa moto.
Tusingekuwa na actresses na kina Tylor Swift, tusingekuwa na teknolojia kubwa ya madawa tuliyo nayo leo hii kama conservatives wasingezidiwa nguvu.
 
Back
Top Bottom