Hivi ndivyo Magharibi itavyopotea. Sio pigo la risasi wala nyuklia, bali ni hivi vifuatavyo

Ipotee tu, Kwa Kweli Msimamo Yao juu ya Ushoga inakera Sana..!

Wapotee tu...

Wataungaje mkono Wanaume Kuinamishana? Wakati Wanawake wanalalamika kukosa Wanaume Wa kuwaoa.?
 
Ushoga ulikuwepo hata katika Roman Empire,
Wanaume wanashindwa kuoa kwa sababu ya umaskini na kuachana na mila zao, hata mashoga wakiondolewa haitasiadiwa hao wanawake kuoleka.
 
Back
Top Bottom