K kovai tamil taiga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 1,451 Reaction score 2,059 Oct 3, 2024 #21 Ipotee tu, Kwa Kweli Msimamo Yao juu ya Ushoga inakera Sana..! Wapotee tu... Wataungaje mkono Wanaume Kuinamishana? Wakati Wanawake wanalalamika kukosa Wanaume Wa kuwaoa.?
Ipotee tu, Kwa Kweli Msimamo Yao juu ya Ushoga inakera Sana..! Wapotee tu... Wataungaje mkono Wanaume Kuinamishana? Wakati Wanawake wanalalamika kukosa Wanaume Wa kuwaoa.?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Oct 3, 2024 #22 kovai tamil taiga said: Ipotee tu, Kwa Kweli Msimamo Yao juu ya Ushoga inakera Sana..! Wapotee tu... Wataungaje mkono Wanaume Kuinamishana? Wakati Wanawake wanalalamika kukosa Wanaume Wa kuwaoa.? Click to expand... Ushoga ulikuwepo hata katika Roman Empire, Wanaume wanashindwa kuoa kwa sababu ya umaskini na kuachana na mila zao, hata mashoga wakiondolewa haitasiadiwa hao wanawake kuoleka.
kovai tamil taiga said: Ipotee tu, Kwa Kweli Msimamo Yao juu ya Ushoga inakera Sana..! Wapotee tu... Wataungaje mkono Wanaume Kuinamishana? Wakati Wanawake wanalalamika kukosa Wanaume Wa kuwaoa.? Click to expand... Ushoga ulikuwepo hata katika Roman Empire, Wanaume wanashindwa kuoa kwa sababu ya umaskini na kuachana na mila zao, hata mashoga wakiondolewa haitasiadiwa hao wanawake kuoleka.