uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Bora lile gaidi sadam usen lilinyongwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Em leta fanta tunywe mkuu. Achana na mambo ya marekani
Fanta ni ya wapi mkuuFanta ni ya Tanzania?
No brain washed na Imani. Mungu anatupenda wote na hukuna kitu kama hicho Wala Taifa teuleUkisoma maandiko hasa Biblia. Hawa waarabu kuteseka na kuwa na machafuko sio jambo la kushtushwa.
US atalaumiwa bure tu ila kuna spiritual issues behind.
SANA ,ANGALIA LIBYA SASA.Sadam alikuwa na mapungufu yake ila alichofanya Marekani Iraq ni udhalimu wa bali ya juu.
Wewe utakuwa siyo mzima. Umeamua kwa makusudi kutumia masaburi.Marekani hawawezi kujutia ata siku moja swala la kuivamia Iraq kwa ulikuwa ni mpango sahihi ndani ya muda sahihi.
Hebu fikiri Sadamu angeachwa hadi leo Dunia ingetuwa kwenye tension gani?
Sasa hivi ni muda muafaka tena kwa Amerika kutafuta sababu ya kumkabili Irani as they did to Sadam sababu wakimuacha kwa baadae ni tatizo kubwa sana.
Saddam hajawahi kuwa tishio la usalama wa middle east na Dunia na marekani hakuwa na Sababu sahihi ya kuivamia Iraq alidangsnya ulimwengu Saddam anamiliki siraha za hatari,anafadhiri Al Qaeda je hizi ndio unaziita sababu sahii.
Lengo la uvamizi ni kuunda serikali itakayo Linda maslahi yake , miaka 20 sasa imepita labda Dunia ipo kwenye tension gani?
Imepita hiyo, na bush mwenyewe hana habari! Kikubwa wangetueleza nini kilidondosha yale majengo na sababu ni zipi
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Sidhani! Nitakua wa mwisho kuamini!Magaidi wa Al-Qaeda walikiri kufanya hilo tukio na wakasema wangeendelea na mengine zaidi, unataka uelezwe nini zaidi?!
Saddam alikuwa anamapufu kwenye utawala wake yanaweza yakawa mengi , lakini hayakumfanya kuwa ni tishio middle east kilichokuwa kinatishia salama wa middle east ni vikundi vya kigaidi ambapo Saddam alikuwa miongoni mwa watu aliyekuwa adili na vizuri hilo hata Donald Trump amekiri kwamba Saddam alikuwa adili nao vizuri kuliko marekani.Saddam aliyeivamia Kuwait, kufadhili makundi ya kigaidi na kuua Wa Kurdi kwa genocide hakuwa tishio la usalama mashariki ya kati?!
Saddam alikuwa anamapufu kwenye utawala wake yanaweza yakawa mengi , lakini hayakumfanya kuwa ni tishio middle east kilichokuwa kinatishia salama wa middle east ni vikundi vya kigaidi ambapo Saddam alikuwa miongoni mwa watu aliyekuwa adili na vizuri hilo hata Donald Trump amekiri kwamba Saddam alikuwa adili nao vizuri kuliko marekani.
Hebu sasa angalia vikundi vya kigaidi vilivyokuwa vinapambana na Saddam ndio hivyo hivyo leo vinamsumbua marekani na Bado vinapigana na serikali ailiyowekwa na marekani,
Marekani hajafanya lliberation yeyote kwa kumuangusha Saddam they made things more worse , kama kwaida yao walikuwa wanatafuta Sababu ya kulinda maslahi yao hivyo wakatunga Sababu ikiwemo hio kufadhiri magaidi ,hata uingereza imelaumu marekani kwa kuwadanganya kwa hizo Sababu za uongo.
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, UN haikutoa kibari cha US kwenda kuivamia Iraq
Hao unawaita madikteta unawaita hivyo Kwa Sababu umeaminishwa hivyo umeshikwa Akili.Trump anahusudu na kuwasifia madikteta kuanzia huyo Saddam mwenyewe, Putin hadi Kim Jong wa Korea Kaskazini, ni kwa vile tu Marekani ina katiba na taasisi imara sana vinginevyo asingeondoka madarakani mpaka leo japo alishindwa uchaguzi. Huyu sio mtu wa kumtilia maanani anayosema.
Saddam alikuwa anapambana na makundi yaliyokuwa yanatushia utawala wake ndani ya Iraq, hao waliokuwa wanasumbua huko nje hasa kwa maadui zake walikuwa rafiki zake.
Machafuko yaliyotokea Iraq baada utawala wake kuangushwa ni kawaida katika sehemu zote ambazo madikteta wanataka kuondolewa au wanaondolewa hasa kwa ghafla. Udikteta mara zote ni "one man show" ni mtu mmoja, au familia moja au kakikundi kadogo cha watu wanaendesha mifumo yote, sasa wanapotingishwa au kuondolewa wanaacha ombwe kubwa la uongozi ambalo linajazwa na vurugu na machafuko.