Hivi ndivyo Marekani alivyoiharibu Iraq

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, UN haikutoa kibari cha US kwenda kuivamia Iraq
Yap!..UN ilipuuzwa na hawa wababe wa magharibi (US na UK)......japo nchi zingine kama France, Germany zilipinga vikali ule uvamizi kwa kusisitiza hakukuwa na silaha zozote za maangamizi huko Iraq.
 
Wakati wa uvamizi Waziri Mkuu wa Uingereza alikuwa Gordon Brown au Tony Blair?
 
Tunapojadili suala la Iraq tukumbuke

"Ukraine nae alipeleka vikosi na vifaru iraq"

#KARMA IS REAL[emoji4]
 
Ni ukoloni kama ukoloni wa zamani tu
 
Kama tatizo kwa Marekani sio kwa dunia kwahiyo nawe mmarekani
 
Ukisoma maandiko hasa Biblia. Hawa waarabu kuteseka na kuwa na machafuko sio jambo la kushtushwa.

US atalaumiwa bure tu ila kuna spiritual issues behind.
hakuna cha spiritual wala nini ni uroho wa utajiri wa mafuta tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…