PreGE2025 Hivi ndivyo Mary Chatanda anavyowazuia wengine wasigombee ubunge Mkuranga akisema Ulega ni chaguo la chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

mkalamo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
343
Reaction score
359
Mary Chatanda ni mmoja wa wajumbe wa NEC Taifa ambaye miezi michache ijayo ataketi katika wale watu Watakaopitisha majina ya Wana CCM waliotia nia Majimboni kuomba nafasi ya Ubunge

Kwa nafasi yake Jana amesema wazi kwa Mkuranga ni Abdallah Ulega na wengine hawastahili.

Mbaya zaidi katika hilo amesema Rais amemuamini Ulega na wananchi wanapaswa wasifanye Makosa kumuacha

Kauli yake hii ukiitafsiri ni kuwa Ulega ni CHAGUO la CHAMA na wengine hawana nafasi,pia inabeba ujumbe kuwa ni sehemu ya msimamo wa Kamati kuu ya Chama

Kama sivyo viongozi wakuu wanapaswa wajitokeze na kuikana ili kurudisha Ari ya Wana Mkuranga Juu ya Chama na kuamini uamuzi wao utaheshimiwa kwa Yule watakaemchagua hata akiwa ni huyo huyo Ulega

Kwani Mutembehi anagombea!!?
Maana huyo ndiye huwa anashinda lakini anapewa Ulega.
Malima Adam hagombei!!?
Somebody Njenga yeye hagombei!!??
Huko kwa waswahili ni kulogana kwa kwenda mbele (hasa Ulega).
 
Inasemekana pia Kuna tindwa anataka kugombea.mwaka huu.huyu chatanda anawajua wa mkuranga vizuri.
 
Mary Chatanda ni mmoja wa wajumbe wa NEC Taifa ambaye miezi michache ijayo ataketi katika wale watu Watakaopitisha majina ya Wana CCM waliotia nia Majimboni kuomba nafasi ya Ubunge

Kwa nafasi yake Jana amesema wazi kwa Mkuranga ni Abdallah Ulega na wengine hawastahili.

Mbaya zaidi katika hilo amesema Rais amemuamini Ulega na wananchi wanapaswa wasifanye Makosa kumuacha

Kauli yake hii ukiitafsiri ni kuwa Ulega ni CHAGUO la CHAMA na wengine hawana nafasi,pia inabeba ujumbe kuwa ni sehemu ya msimamo wa Kamati kuu ya Chama

Kama sivyo viongozi wakuu wanapaswa wajitokeze na kuikana ili kurudisha Ari ya Wana Mkuranga Juu ya Chama na kuamini uamuzi wao utaheshimiwa kwa Yule watakaemchagua hata akiwa ni huyo huyo Ulega

Kama sivyo viongozi wakuu wanapaswa wajitokeze na kuikana ili kurudisha Ari ya Wana Mkuranga Juu ya Chama na kuamini uamuzi wao utaheshimiwa kwa Yule watakaemchagua hata akiwa ni huyo huyo Ulega
 
Mary Chatanda ni mmoja wa wajumbe wa NEC Taifa ambaye miezi michache ijayo ataketi katika wale watu Watakaopitisha majina ya Wana CCM waliotia nia Majimboni kuomba nafasi ya Ubunge

Kwa nafasi yake Jana amesema wazi kwa Mkuranga ni Abdallah Ulega na wengine hawastahili.

Mbaya zaidi katika hilo amesema Rais amemuamini Ulega na wananchi wanapaswa wasifanye Makosa kumuacha

Kauli yake hii ukiitafsiri ni kuwa Ulega ni CHAGUO la CHAMA na wengine hawana nafasi,pia inabeba ujumbe kuwa ni sehemu ya msimamo wa Kamati kuu ya Chama

Kama sivyo viongozi wakuu wanapaswa wajitokeze na kuikana ili kurudisha Ari ya Wana Mkuranga Juu ya Chama na kuamini uamuzi wao utaheshimiwa kwa Yule watakaemchagua hata akiwa ni huyo huyo Ulega

Hata mkiuana tutafurqh sisi
 
Ulega atakuwa anamkuna sehemu ya kati huyu mama. Ulega kachezea antena ya huyu mama si bure.
 
Back
Top Bottom