Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki
Celebrities ni Brand (wao wenyewe ndio Biashara) hivyo wengi wao pesa wanazopata ni kutokana na sponsorship, kwahio zaidi ya kuuza bidhaa tofauti wanahitaji ku capitalize jina lao (Strike when the Iron is Still Hot) Kama ilivyo Diamond na Pepsi au wengine hata kama Product sio yake anaweza kuwa front ya hio Biashara Wakati nitty gritty wanafanya wengine... (Hivyo unaweza Town ukajulina product fulani ni yako ila kumbe wewe unatumia kutafuta / kuleta soko)

You better lose yourself in the music
The moment, you own it, you better never let it go (go)
You only get one shot, do not miss your chance to blow
This opportunity comes once in a lifetime, yo​
 
Back
Top Bottom