Hivi ndivyo meli kubwa ya kivita (Moskov) ilivyopigwa na Ukraine, japo mlisema sigara ndio chanzo cha ajali yake

Mkuu umeangalia vibaya,hilo siyo kombola ni sigara kwani huoni kichungi cha sigara kikitoa moshi hapo nyuma??
 
Safi sana mkuu japo atajibu utumbo
 
Jamaa anasema moskva ndo ilikuwa ikishambulia huko ukraine. Kweli meli inayofyatua makombora ifanye mashambulizi karibu na raia hasa watalii?
 
ile kauli ya warusi wa buza na kibera kwamba urusi atachukua nchi saa,wiki,mwezi na sasa mwaka unakwenda
Sipo hapa kushabikia Vita ila kwa wanaofuatilia mambo ya kimataifa wanajua kuwa;
Urusi haipigani Vita na Ukraine Bali inapigana Vita na Ulaya na Marekani. ( Fuatilia Vifaa vya Kivita wanavyotumia Ukraine na gharama za uendeshaji wa Vita zinakotoka)
Nafikiri itakuwa sio sawa kubishana na wewe kwani inaonekana huna uelewa wa kinachoendelea huko Duniani...
 
Ha ha ha ha ha ha ha

Nimecheka saaaana Yaaaakheee
 
Moskva ilikuwa na huo uchafu wa s300 na ikatwangwa kirahisi tu.
 
kinginecha


Labda nikukumbushe kwamba, actually the brains behind Neptune ASM were Russian Engineers and designers mwanzo wakati wa utawala wa kisoviet kombora hilo lilijulikana kama Kh-35 Wa Ukrainians walibaki na sample pamoja na Russian anti ship blue prints - mark you - am not in anyway grossly underrating Ukraines in gas turbofan engines manufacturering for instance, waliitumia kuongeza range na mambo mengine mengi hasa kwa upande wa tinkering around na masuala ya electronic kutoka UK Companies.
 
Nimeshangaa jamaa akiandika daah nachosikitika ndio wasomi wetu hao aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…