Hivi ndivyo mnavyoibiwa kaka zetu

Hivi ndivyo mnavyoibiwa kaka zetu

Duh, ndio maana mimi sio mshabiki wa wanawake wanaovaa mawigi..

M7 juzi kamchana miss Africa kuwa pamoja na kushinda ila ameharibu kuvaa nywele za kihindi
 
Nakwambia mapemaaaa kabisa baba hili ni wig na ukivua kipilipili utakachokutana nacho hutaamini. Kwahiyo mambo yoote kichwa usiguse.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua wabongo wanafiki sana. Unakuta mitandaoni wanaponda wavaa mawigi,make up humu asilimia kubwa ya wake zao wanatumia hivyo vitu.
 
Back
Top Bottom