Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambia mapemaaaa kabisa baba hili ni wig na ukivua kipilipili utakachokutana nacho hutaamini. Kwahiyo mambo yoote kichwa usiguse.Aisee, navuta picha kwa wale ambao tukinogewa kwenye uwanja wa seremala tunajikuta tunatumia nywele kama nyenzo hazitang'oka kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua wabongo wanafiki sana. Unakuta mitandaoni wanaponda wavaa mawigi,make up humu asilimia kubwa ya wake zao wanatumia hivyo vitu.Nakwambia mapemaaaa kabisa baba hili ni wig na ukivua kipilipili utakachokutana nacho hutaamini. Kwahiyo mambo yoote kichwa usiguse.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huku kweli 90% wanasema hawapendi wavaa mawig sijui kina sisi tunaowavalia wanaishi dunia ipiUnajua wabongo wanafiki sana. Unakuta mitandaoni wanaponda wavaa mawigi,make up humu asilimia kubwa ya wake zao wanatumia hivyo vitu.