Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wala hawasemi mambo wanayokutana nayo...wanakauka kimya kimyaHahahaaaa daaahhh mabaharia wanapitia mengi
Daaah inasikitisha sana pole kwake, alikuwa amelewa sana niniMkuu kwa nini nimuonee wivu? inasemekana kaliwa kwa mpalange
Walimtilia dawa kwenye kinywaji, sijui dawa gani?Daaah inasikitisha sana pole kwake, alikuwa amelewa sana nini