Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
- Thread starter
- #181
We si umetoka kusema vijana hatuna mchango kwa nyuzi kama hizi alafu tena unatumia uzi huu kurusha kamba 🤣🤣🤣🤣Mimi nakuoa kabisa dada sio kukuchezea ,hapa nipo single tu hata sijaoa tena baada ya kuachwa na mke wangu wa zamani .
Kikubwa zama PM ,nikuoe ,uzuri umekuja wakati mzuri nikiwa na hela ya kahawa hivyo hela ya kuwaita masheikh ipo na chai tutakunywa bila kusahau na ubani lazima uchomwe .
Please weka masihala pembeni zama kunako