Hivi ndivyo navyo imagine muonekano wa baadhi ya ladies wa humu JF

Mi nahitaji mume
Mimi nakuoa kabisa dada sio kukuchezea ,hapa nipo single tu hata sijaoa tena baada ya kuachwa na mke wangu wa zamani .
Kikubwa zama PM ,nikuoe ,uzuri umekuja wakati mzuri nikiwa na hela ya kahawa hivyo hela ya kuwaita masheikh ipo na chai tutakunywa bila kusahau na ubani lazima uchomwe .
Please weka masihala pembeni zama kunako
 
Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…