Hivi ndivyo nilivyo mjibu leo tarehe 24/12/2021 siku moja kabla ya christmas

Sijui kwanini jinsia ya kike huwa inaona yenyewe ndio ina haki ya kupokea

Ajabu baada ya hapo eti haki sawa kwa wote
Bora umeliona hilo ndomaana wanaume tunakufa mapema sana kumbe mpango wa kutuua ni hizi hizi kampeni za haki sawa hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…