Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi mkuu?Kwa Mimi ambae sina mwenyeji dar naweza kujoin vipi ili tufanye pamoja?
Nipo Shinyanga kwa sasa lakin nimeku PM piaUko wapi mkuu?
Sawa mkuuNipo Shinyanga kwa sasa lakin nimeku PM pia
Mkuu ni pm tafadhali...Karibu mkuu, naomba number yako ntakupigia
Sawa mkuu hamna tatizoMkuu ni pm tafadhali...
Naomba namba yako nikutafute boss na mm nitoke mkoani nije Dar maana maisha magumu.Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume naishi Dar najihusisha na ujasiriamali wa usafi na dawa kwa uchafu sugu katika Tiles,Masink,Vioo na Sofa.
Mwezi wa 10 mwaka jana nili hama kimakazi kutoka mkoani kuja Dar lengo likiwa ni kutafuta kazi ama shughuri yoyote ya kuni ingizia kipato maana nili amini huku fursa za kazi ni nyingi tofauti na mikoani.
Nilipo fika nika anza kutafuta kazi kila sehemu kulingana na uzoefu wangu hasa shughuri za masoko na mauzo,kwakweli ili kuwa mtihani kupata kazi hata ya kuchoma chips na nyama maana pia nna uzoefu nayo.
Nilipo ona kuna changamoto ya kuendesha maisha hata kuhudumia familia ikawa tabu maana nna mke na mtoto 1 ikanibidi nianze kukopa pesa kwa watu nnao fahamiana nao kwa kuweka kisingizio ambacho nili hisi siwezi kukosa pesa, changamoto ilikuwa ni kutumia pesa ikaisha na sijui nta pata vipi nyingine na namna ya kuirejesha kama nilivo ahidi maana nili ahidi baada ya wiki 1 tu ili kumshawishi mtu kunipatia pesa.
Miezi kadhaa iliyo pita nika ona mdau mmoja wa humu Jamii Forum kwa jina lake "Digital Base" ali post uzi unao elezea njia kadhaa za kujiajiri katika usafi hasa uchafu sugu kwenye Tiles Masink na Sofa.
Nili chukua yale maelekezo yake nikaenda kufanyia kazi japo changamoto nilikutana nayo katika namna bora ya kung'arisha ili kurudisha mng'ao na dawa nzuri ya kutumia.
Nili amua kumtafuta ili anisaidie maelekezo zaidi ili niweze kufanya kazi hiyo kwa ufanisi kwakweli namshukuru sana huyu Kaka alinisaidia maelekezo yaliyo niwezesha kuwa fundi na mtaalam wa viwango ambapo kwa sasa naweza kung'arisha hata sink lililo fubaa sana ama Tiles zilizo fubaa.
Kwa sasa kila siku naingia mtaani naongea na watu pia natumia mitandao ya kijamii hasa Facebook kutafuta wateja na kwa siku sikosi 30,000 na kuna baadhi ya siku napata mpaka 100,000 maana naweza kwenda nyumba ya mtu nika msafishia Sofa, Masink,Tiles na pia ana nipa kazi mpaka kwa wapangaji wake namfanyia kazi na bado ana niunganisha na watu wengine maana namfanyia usafi wa viwango vya juu sana kiasi ambacho haku tegemea alikuwa na mpango Kubadili sink aweke jipya lakini Mimi nang'arisha hilo hilo lina rudi kuwa jipya ama kupaka rangi kwenye tiles ili kuziba uchafu lakini Mimi namsaidia kuondokana na hiyo changamoto na kupunguza gharama.
Kwahyo ndugu yangu ama rafiki unaye kaa bila kazi kwa kusema kuwa ajira hamna tunaweza kushirikiana kufanya kazi kwa pamoja na ikiwezekana tufanye uzalishaji wa dawa za usafi za kung'arishia Tiles na Masink maana pia nime fundishwa na yule Mr natumia dawa zangu mwenyewe kufanyia usafi kwahyo ikiwa mtaji utakuwa mkubwa tunaweza kuzalisha bidhaa nyingi zingine tuka uza kwa wateja wetu wanao hitaji dawa tu au tulio wafanyia huduma.
Natamani sana Vijana wenzangu pia wapate ujuzi huu na formula hii inaweza kukusaidia kuingiza Kipato cha uhakika kila siku maana mteja mwingine uliye mfanyia kazi anaweza kuku unganisha na rafiki yake mwingine.
Asanteni sana Jamii Forum kwa kutu unganisha hapa kuna watu wana nia ya kweli kusaidia wana jukwaa wenzao ili wafaidike pia .
Asante sana [emoji120][emoji120] [emoji3590] Jamii Forum.
TuwasilianeHabari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume naishi Dar najihusisha na ujasiriamali wa usafi na dawa kwa uchafu sugu katika Tiles,Masink,Vioo na Sofa.

Weye chizi nini? Hiyo siri ya kazi unataka kumuibia ,unaonekana uko cheap sana wacha ushamba huo ,huyu anatafuta sponser mushirikiane kama uko intrest muone mukubaliane mutengeneze ww unataka formula daa dekii.Mie naomba formula ya kutengeneza hayo madawa ndugu mkemia.
Sawa sawa mkuu nashukuru sana 🙏 ubarikiweMaster Kutu .Hongera sana Congra Umejitambua sana dont give up utafanikia kila kheri fanya kazi kwa bidii na moyo safi ,hakuna kazi mbaya tuko mjini hapa ,piga kazi broo.
Sawa sawa mkuu hamna tatizo karibuTuwasiliane
Nashukuru sana mkuu 🙏🙏Hongera sana mkuu[emoji1666]
Mkuu nipo dar kama hutojari waweza nishilikisha nami angalau nipate pakuanzia natanguliza shukraniHabari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume naishi Dar najihusisha na ujasiriamali wa usafi na dawa kwa uchafu sugu katika Tiles,Masink,Vioo na Sofa.
Mwezi wa 10 mwaka jana nili hama kimakazi kutoka mkoani kuja Dar lengo likiwa ni kutafuta kazi ama shughuri yoyote ya kuni ingizia kipato maana nili amini huku fursa za kazi ni nyingi tofauti na mikoani.
Nilipo fika nika anza kutafuta kazi kila sehemu kulingana na uzoefu wangu hasa shughuri za masoko na mauzo,kwakweli ili kuwa mtihani kupata kazi hata ya kuchoma chips na nyama maana pia nna uzoefu nayo.
Nilipo ona kuna changamoto ya kuendesha maisha hata kuhudumia familia ikawa tabu maana nna mke na mtoto 1 ikanibidi nianze kukopa pesa kwa watu nnao fahamiana nao kwa kuweka kisingizio ambacho nili hisi siwezi kukosa pesa, changamoto ilikuwa ni kutumia pesa ikaisha na sijui nta pata vipi nyingine na namna ya kuirejesha kama nilivo ahidi maana nili ahidi baada ya wiki 1 tu ili kumshawishi mtu kunipatia pesa.
Miezi kadhaa iliyo pita nika ona mdau mmoja wa humu Jamii Forum kwa jina lake "Digital Base" ali post uzi unao elezea njia kadhaa za kujiajiri katika usafi hasa uchafu sugu kwenye Tiles Masink na Sofa.
Nili chukua yale maelekezo yake nikaenda kufanyia kazi japo changamoto nilikutana nayo katika namna bora ya kung'arisha ili kurudisha mng'ao na dawa nzuri ya kutumia.
Nili amua kumtafuta ili anisaidie maelekezo zaidi ili niweze kufanya kazi hiyo kwa ufanisi kwakweli namshukuru sana huyu Kaka alinisaidia maelekezo yaliyo niwezesha kuwa fundi na mtaalam wa viwango ambapo kwa sasa naweza kung'arisha hata sink lililo fubaa sana ama Tiles zilizo fubaa.
Kwa sasa kila siku naingia mtaani naongea na watu pia natumia mitandao ya kijamii hasa Facebook kutafuta wateja na kwa siku sikosi 30,000 na kuna baadhi ya siku napata mpaka 100,000 maana naweza kwenda nyumba ya mtu nika msafishia Sofa, Masink,Tiles na pia ana nipa kazi mpaka kwa wapangaji wake namfanyia kazi na bado ana niunganisha na watu wengine maana namfanyia usafi wa viwango vya juu sana kiasi ambacho haku tegemea alikuwa na mpango Kubadili sink aweke jipya lakini Mimi nang'arisha hilo hilo lina rudi kuwa jipya ama kupaka rangi kwenye tiles ili kuziba uchafu lakini Mimi namsaidia kuondokana na hiyo changamoto na kupunguza gharama.
Kwahyo ndugu yangu ama rafiki unaye kaa bila kazi kwa kusema kuwa ajira hamna tunaweza kushirikiana kufanya kazi kwa pamoja na ikiwezekana tufanye uzalishaji wa dawa za usafi za kung'arishia Tiles na Masink maana pia nime fundishwa na yule Mr natumia dawa zangu mwenyewe kufanyia usafi kwahyo ikiwa mtaji utakuwa mkubwa tunaweza kuzalisha bidhaa nyingi zingine tuka uza kwa wateja wetu wanao hitaji dawa tu au tulio wafanyia huduma.
Natamani sana Vijana wenzangu pia wapate ujuzi huu na formula hii inaweza kukusaidia kuingiza Kipato cha uhakika kila siku maana mteja mwingine uliye mfanyia kazi anaweza kuku unganisha na rafiki yake mwingine.
Asanteni sana Jamii Forum kwa kutu unganisha hapa kuna watu wana nia ya kweli kusaidia wana jukwaa wenzao ili wafaidike pia .
Asante sana [emoji120][emoji120] [emoji3590] Jamii Forum.
Sawa mkuu hamna tatizo karibuMkuu nipo dar kama hutojari waweza nishilikisha nami angalau nipate pakuanzia natanguliza shukrani
Do you think so? Think twice! Hivi dunia ya leo kuna mtu anayeanika ''ulaji'' wake hadharani? I mean kama ungekuwa unafanya huduma kama hii ungeanika hapa ili ''kila mtu'' ajue formula yako ya mafanikio hasa ikizingatiwa kuwa ikujulikana itatumiwa na wengine? I say again: think twice!Duh toka nijiunge jf nadhani ndio uzi wa kwanza wa fursa kwamimi ambao hauna makando kando.
Nyuzi nyingi zipo ila nyingi wewe uliyeletewa fursa ndio uwe fursa kwa mleta Uzi
Hongera mkuu, ubarikiwe
Kama hutojari naomba tuwasiliane mkuu namba angu hii 0764161048Sawa mkuu hamna tatizo karibu
Sawa bossKama hutojari naomba tuwasiliane mkuu namba angu hii 0764161048